@AnnaTibaijuka@Kiganyi_ Happy birthday Professor!
You real make this generation proud.
May God bless you always and grant you a happy long and healthy life.
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
โWaheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fitโ acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemalizaโ
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
@EduTalkTz Nani atawasikiliza watu low ambao hata kujiongoza wenyewe tu hawawezi!
Unajitutumua na vimaneno vitupu kwenye jukwaa la UN huku utawala bora na utawala wa sheria vinakushinda kwenye nchi yako!! Wazungu wanajua hizi ni FUTUHI za unyani tu.
@godbless_lema@Sativa255 Ukikamatwa na polisi utaongea na viongozi wa polisi ili kutatua tatizo lako.
Ukiwa na tatizo na jeshi la Magereza, utaongea na viongozi wa jeshi hilo ili kumaliza shida yako.
Ukiwa na shida na Idara ya Usalama, utaongea na viongozi wake ili kumaliza tatizo lako.
Heche ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ