Anaitwa BEN MPORIPORI huyu ndio anahusika na UTEKAJI unaoendeshwa na MAFWELE.
Huyu pia anafanya kazi kama MSAIDIZI WA @ummymwalimu
HUYU ANATUMIKA KUPOTEZA WAKOSOAJI WA SERIKALI.
MKUMBUKENI KWA SURA HUYU KIBAKA.
Story yangu ya KUTEKWA haiwezi kukamilika bila kulitaja jila lake maana X nzima ni mashahidi wa TWEET zake.
Huyu KUMA anaona kama yeye ataishi MILELE hapa chini ya JUA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mtu kama MASAJU anatakiwa kujibiwa kwenye UPUMBAVU wake.
Asante Makamu kwa kulisemea hili, lazima WAKOLONI WEUSI wakumbushwe hatupo zama za 90 kweusi.
REPOST 200
Tulisema #NoReformsNoElection Samia akasema yeye ni CHURA kiziwi na hakutakuwa na Nywinywi wala Nywinywinywi, Sasa tunasema #NoJusticeNoAfcon achague kusikiliza au kujifanya Chura kiziwi tena.
MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema.
Rev Peter Simon Msigwa
Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri.
Kwa maoni yangu, ulijielekeza vibaya. Huenda ulikuwa na nia njema ya kueleza msimamo wako, lakini wakati mwingine namna tunavyojieleza inaweza kuleta maswali mengi zaidi kuliko majibu tuliyokusudia kutoa.
Mahakama ya Umma ni nini?
Hii ni mahakama isiyo na jengo, majaji wala waendesha mashtaka. Ni mahakama ambayo wananchi wanapima maneno yako, matendo yako, misimamo yako na uaminifu wako kwa kuzingatia kile wanachokifahamu kuhusu wewe.
Katika mahakama hii, si wewe pekee unayeamua namna utakavyoeleweka. Watu wanaweza kulinganisha ulichosema jana na unachosema leo. Wanaweza kuhoji tofauti kati ya maneno yako na matendo yako.
Hata hivyo, hukumu ya umma si lazima iwe sahihi kila wakati. Ndiyo maana ukweli na haki vinapaswa kuwa juu ya hisia na mitazamo ya watu.
Mahakama ya Dhamiri ni nini?
Hii ni mahakama iliyo ndani ya mwanadamu mwenyewe.
Haina majaji wanaoonekana, haina waandishi wa habari, haina mashabiki wala wapinzani.
Ni mahakama ambayo wewe mwenyewe unakutana na ukweli unaoujua ndani yako.
Unaweza kuwashawishi watu kwamba uko sahihi, lakini dhamiri yako ikawa na maswali ambayo hujayajibu.
Unaweza kushinda mabishano mbele ya umma, lakini ukashindwa kupata amani ndani yako.
Mahakama ya Umma inakuuliza: Watu wanayaonaje maneno na matendo yako?
Mahakama ya Dhamiri inakuuliza: Wewe mwenyewe unajua nini kuhusu ukweli wa maneno na matendo yako?
Ndugu yangu Lema, kama rafiki yako, siwezi kujifanya ninajua kilicho ndani ya dhamiri yako. Hilo unalijua wewe mwenyewe na Mungu wako.
Lakini ninaweza kukuambia kwa upendo na uwazi kwamba, kwa mtazamo wangu, ulijielekeza vibaya.
Urafiki wa kweli si kushangilia kila anachofanya rafiki yako. Wakati mwingine ni kuwa na ujasiri wa kumwambia ukweli hata pale ambapo ukweli huo unaweza kumuumiza.
Ninakuombea kwa Mungu akupe hekima, utulivu, unyenyekevu na ujasiri wa kujitathmini.
Kumbuka, si kila anayekukosoa ni adui yako, na si kila anayekushangilia ni rafiki yako.
Wakati mwingine tunatumia nguvu nyingi kujitetea mbele ya watu, lakini tunasahau umuhimu wa kujitathmini mbele ya dhamiri zetu.
Unaweza kujitetea mbele ya Mahakama ya Umma kwa maneno, lakini mbele ya Mahakama ya Dhamiri unapaswa kukutana na ukweli.
Ndugu yangu Lema, ninamwomba Mungu akusaidie.
Kwa sababu mwisho wa yote, si muhimu tu watu waseme nini kuhusu wewe; ni muhimu pia wewe mwenyewe uweze kuishi kwa amani na ukweli unaoujua.
Mahakama ya Umma inaweza kukosea katika hukumu yake, lakini Mahakama ya Dhamiri inayosikiliza ukweli kwa uaminifu inaweza kuwa mahali pa mwanzo wa kujisahihisha.
@royalmediatz Alipo tuulia ndugu zetu alitupa pole kama yeye ni mfariji mkuu? Weee sengu acha upumbavu sasa hakuna wajinga watamsikiliza huyo malaya na msagaji.
@mangekimambi@MariaSTsehai napendekeza tuitushe maandamano Oct29 mwezi ujao mwaka mmoja baada ya Mauwaji yaliyofanywa na Kimama samia genge lake
Maandamano ya kuenzi, kutambua mashujaa wetu waliotangulia mbele za haki wakidai haki na kuhamasisha solidality ya kudai Katiba Mpya
Samia Suluhu has turned Tanzania into a terrorist country by allowing her goons to take people's lives at any cost. This happened today when a bus driver narrowly escaped an attempted abduction after civilians intervened to block the kidnappers' vehicle, no. T881 ENZ.Tanzania is not safe under a tyrant, Samia
@UN@hrw@ChangeTanzania@MariaSTsehai@EliasariaII@amnesty@AmnestyEARO@_James041@C_NyaKundiH@KLM