JINA LA DINI ADONITOLOGY SLOGAN YAO. Twerk praise dance is a stress reliever for women with the curvy bottom nini lazima Strictly For the Curvy Women! TIJIFUNZE KIDOGO KUHUSU HII DINI sichochei chochote, sijahusisha dini yako, kama hauna kalio usinichukie
⚡️ Elon Elon Elon
Ununuzi wake wa Twitter una siri nzito ambayo hataki tuijue
Huyu jamaa ni mtu mmoja ana akili mno 😂
Huyu CEO wa Tesla & SpaceX alikuwa mmoja wa watu muhimu katika kuanzishwa kwa OpenAI ambayo imetoa ChatGPT.
Tovuti 23 kwa ajili ya masomo ya bure mtandaoni.
Zitafute hizi kwenye Google:
1. Khan Academy
2. edX
3. Saylor Academy
4. FreeCodeCamp
5. iTunesU Free Courses
6. MIT OpenCourseWare
7. TED-Ed
8. Stanford Online
9. Codecademy
10. Open Culture Online-Courses
11. Academy Earth
BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES
Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN
Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ?
Twende na uzi 👇
#ElimikaWikiendi
@Rirque_ Mkuu mkoa wa Morogoro, Martine Shigella, anatarajia kuunda kamati maalum kwa ajili ya kufanya uchunguzi ili kuweza kubaini chanzo cha ajali ya moto katika kituo cha kupozea umeme cha Msamvu katika manispaa ya Morogoro.