@YoungAfricansSC Usione mwanaume anafanya mitikasi yake sura nyeupe kuna mengi yanafichwa kwenye mapambano na yupo anahakikisha majonzi hayatoi kwenye reli, Boka ameipambania nembo ya yanga licha ya kuwa na mapambano yake na nafsi yake pia
THANK YOU CHADRACK ISACK BOKAππ
@MiriamMkanaka@counselordvd mtumishi swali gumu hilo, ila jibu lake sote tuseme kwa pamoja mpaka kule mwisho "njianzake si kama zetu, wala akili zake hazichunguziki"
Kwa Lugha nyepesi Biblia inajaribu kuelezea ni namna binadamu Tuna uwezo mkubwa wa kufanya chochote tunachotaka.
Ila uwezo huo Umefungwa na hofu na hofu huondolewa na Imani.
Amini Itakuaπ
Kwa lugha nyepesi
Ni kwamba hata kama umeandikiwa changamoto hazikosekani katika safari yako ya mafanikio.
Njia pekee ya kufanikiwa ni kutokata Tamaa, na silaha pekee itakayo kusaidia kutokata tamaa ni Imani.
Amini na Itakua, ni suala la muda Tu champπ
Ukiijua Biblia vizuri basi Huenda ukawa ume solve 80% ya changamoto za dunia.
Imagine imeandikwa
"Siku ya heri uwe na furaha, na siku ya taabu ufikiri."
Sio siku ya Taabu uhuzunike, La hasha! "UFIKIRI"
Kwa Lugha nyepesi kabisa ni kuwa Always there is a Way out.π
@MiriamMkanaka Hapa tunajifunza kuwa
Wakati mwingine Tatizo si kwamba umeshindwa, bali umechoka. Si kila hali ngumu inahitaji majibu ya haraka; zingine zinahitaji upumzike, ule vizuri, ulale na ujipatie nguvu upya. Baada ya hapo utaweza kuona mambo kwa mtazamo tofauti.
Usikate Tamaa haraka.
@Mikazokitwango@MiriamMkanaka mwanangu mtombangile tafakuri imenyooka haiendani kabisa na jina lako, kwakwel mtu si nyau mwanangu mtombangileππβ