@godbless_lema chadema km chama imetumia nguvu kushawishi watu maarufu kutoka CCM kujiunga nacho kwa imani kwamba chama kitaongeza ushawishi ktk jamii ya watanzania ambalo linaweza kuwa jambo zuri lakini kwa uzoefu wangu vyama vya upinzani tz vinabomolewa kwa kiasi kikubwa ccm
@PMadeleka "majaji katendeni haki bila HOFU Wala upendeleo" nadhani Kuna haja ya kulujadili hili neno HOFU ikiwa majaji wanatenda kazi yao kwa mjibu wa sheria hii hofu inatoka wapi? kawaida HOFU huja pale unafanyakazi kinyime na matakwa ya Boss wako au mkunwa wako.
@PMadeleka Si mbaya kwa mtu aliyetoka chuo kwa sbb serikalini ndio sehemu pekee na ya uhakika kwa mtu anayeanza maisha kutoka ktk familia masikini kutafutia mtaji.
@zittokabwe@franklin_tissa Binafsi huwa napata shida sana kuelewa pale jambo linapoamuliwa na serikali baada ya kushauriana na taasisi zake halafu sisi wananchi ktk kutafuta unafuu wa kero na kalaha za jambo husika tunaiomba serikali hiyo hiyo ambayo kimsingi ndio iliyotuletea hilo tatizo.