@MsigwaGerson Sasa nguchiro na chawa wake wanawezaje kuungana na binadamu wakajenga na kulinda nchi? Mnajua nyie mlioko madarakani ndio mnaofundisha kutengana? Leo hii ikitokea umekufa au kiongozi mwenzio unategemea vifo vyenu visifurahiwe na kushangilia badala ya kuhuzunika
@AbelKamani2@joram_mwesa@HildaNewton21 Acha kulaghai watu bwana mdogo. Tangia MO29 umeona hata dalili za watawala kujirudi? Walianza kusema vurugu zimefanywa na watu toka nje, wengine wakasema zile video za maiti barabarani ni AI. Unaongea nn wewe au na wewe ni mmoja wa waliokua wanauwa?
@Dr_DGwajima Hongera Sana mama kwakweli kila sekta walokabidhiwa wangekua na SHARP response kama yako tungekua mbali Sana. Mungu azidi kukutia nguvu ufanye zaidi na zaidi inshaalah