@ArchilesDulle @AnnaKhatry@TIPOfficial__@agpahi@Mustaarabu Mafunzo yanapatikana sehemu kote kupitia mitandao ya kijamii kama IG na Twitter ambako kunawekwa posta zenye ujumbe mbalimbali wa kuelimisha pia midahalo mbalimbali ya zoom na clubhouse inayokuwa imeandaliwa ...natumai nimekujibu vyema kama bado usisite kuuliza
Vijana_Imani Cathedral Church_DMZV
Ziara ya Kwanza mwanzo wa miezi ya Mwaka 22.
Moja ya Alama ya miradi mikubaa kwa Vijana wa Kanisa Kuu-DMZV
HONGERA SANA VIONGOZI WETU WA IDARA.💡
#buchosa@Eliathetruth@rodrickgodwin
@kamndegodlisten @kibaste_@SiaraNeema@grace
Shirika la Tanzania Interfaith Partnership (TIP) kwa kushirikiana na shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa mataifa (UNESCO) leo wamezindua rasmi mwongozo wa elimu kuhusu afya ya uzazi na haki kwa vijana katika sherehe fupi zilizofanyika leo jijini Dar es salaam.
Hongera Mkurugenzi Mtendaji Wa TIP Kwa Kushiriki Uzinduzi Wa Sera Ya Nyongeza Ya Ushirikiano Wa Majukumu Baina Ya Kada Za Afya Kuhusu Ukatili Wa Kijinsia Ukatili Dhidi Ya Watoto Iliyofanyika Leo Jijini Dodoma.@TIPOfficial__#ZuiaUkatiliKwaWototo#RafikiKapimeHIV@Mustaarabu
⏺️Tunawawezesha vipi mabinti wa kitanzania kuweza kutumia uwezo, maarifa na vipaji walivyo navyo ili kuvishinda vikwazo dhidi ya ndoto zao na kuwa viongozi bora wajao?
⏺️Kesho kuanzia saa 3 asubuhi tutawajuza jinsi taasisi mbalimbali zinavyomkomboa binti wa kitanzania #IDGC2021
⏺️Tunapoadhimisha #SikuyaMtotowaKike, tunajivunia vinara katika klabu za "Championi' ambazo zipo katika shule zetu za programu.
⏺️Kinara mwingine kutoka Ukerewe akiwasilisha ujumbe kwa wanafunzi wenzake katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike
#Championi
Timu za soka za TIP za walimu wa shule za msingi na timu ya vijana wa digitali kutoka halmashauri ya wilaya ya Buchosa mkoani Mwanza jana walitoka sare kwa kufungana mabao matatu kwa matatu katika mechi ya kirafiki iliyofanyika jana katika uwanja wa Nyehunge Buchosa.
Wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto kwa kushirikiana na shirika la Tanzania Interfaith Partnership (TIP) jana walifanya uzinduzi wa sera ya nyongeza ya ushirikishwaji majukumu katika kupinga ukatili wa kijinsia na ukatili kwa watoto.