@JohnMuhiti96003@zittokabwe Wewe endelea na kujidanganya na kujichekesha hivyo hivyo. Mlimuua chacha wangwe zitto alichoropoka yuko hai anaendeleza libeneke.
@TuheriEdward@PatricOleSosopi Ila wewe ndio mwongo wa kutupwa ! Watendaji wa vijiji na kata wapo tangia CCM ilipozaliwa. Ndio maana ya chama tawala. sio 2015 !
@Jambotv_ Reforms ni za Chadema wengine wengi sana hawana shida nazo. Ila kugawa majimbo jiji la Mbeya ni Jambo la manufaa kwa wengi hata wasio na vyama.
@mpilu85774@mdudenyagali@kimomainc2018@ayubu_madenge Ukombozi wa nchi hii tayari ulishafanyika na Baba wa Taifa mwl J k Nyerere chini ya Chama cha TANU. Haya ya sasa sio ukombozi. Ni Demokrasia ya vyama vingi.
@Phbhimself Tuko hapa sio kwa silaha wala hofu. Bali kwa Amani furaha na Upendo na mazungumzo. Ndiyo vinaleta dunia yetu pamoja Kama binadamu.
Najiuliza haya Mukund makubwa ya kihalifu yanayochinjachinja watu kwa majina ya magaidi. Yanaelewa hii