@mjamaikaJr @Dream99chaser @ByDurahRich @Ireneigora @JayleenRickie@chevi_masta Makanisa ya Kwanza ya mitume ni Catholic na greak Orthodox na sio kwamba wali hudumu mitume katika makanisa hayo Bali wale successor wa mitume ndo walihudumu katika hayo makanisa mgawanyiko wa madhehebu ni mpango wa Mungu yote ya timie kwa hiyo hakuna aliyepotea
Unapopata taarifa kwamba habari yao kubwa ilikuwa sio ya kweli na kesho wakubwa wa nchi tutakuwa na jambo kubwa 😃
Nadhani tunaelewana tukisema jambo kubwa 😊 #NguvuMoja
@MariaSTsehai Amani iwe juu yako na juu yao.
Mwenyezi Mungu Hapendi dhuluma na mateso.
Sijui Watawala kama waliwaandaa hao Wamasai kukutana na hali hiyo.
Ninachojua ni kwamba Mungu ni Mwingi wa Rehema na Mwingi wa Ukarimu, Mpole kwa viumbe Wake.Basi tunamuomba Awakumbuke na Awahurumie.
@MariaSTsehai MY God!Lini Mungu utaiadhibu ccm na vibaraka kwa kumwaga damu za waTZ? Ni lini Mungu utatulipizia KISASI kwa hawa WATAWALA? Ni lini Mungu utatuamsha waTZ tujue kudai haki zetu kwa nguvu? Mf hii leo tu Mungu majiji yte TZ yalitakiwa kuwa na PROTESTS kupinga hili but kuko KIMYAA.