Mwenyekiti Tundu Lissu amesema hataki upumbavu wa kutembelewa usiku gerezani. Hataki vikao vya gizani. Yupo tayari kuishi gerezani hadi haki ipatikane, kwa kuwa anapigania haki, yupo tayari gharama. Kama unampenda sana, njoo mahakamani. #FreeTunduLissu
Wako wapi? Hilo ni swali linaloendelea kusumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha.
Leo dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu, kumbukumbu zinarejea kwa watu 83 ambao kwa mujibu wa TLS walidaiwa kutekwa/kupotea 🇹🇿 2016-2024.
LISSU KUENFELEA NA UTETEZI
Baada ya mapumziko ya sikukuu, leo Mhe Tundu Lissu ataendelea na utetezi wake dhidi ya shitaka la Ubaini linalomkabili.
Mhe Lissu alianza utetezi wake siku ya Ijumaa na aliendelea kujitetea jumatatu kabla ya mahakama kuahirisha kesi hadi leo jumatano kupisha sikukuu.
Lissu ni shahidi wa kwanza wa upande wa utetezi, na Endapo atakamilisha utetezi wake leo, ataendelea na utetezi kwa kuwaongoza mashahidi wake wengine kutoa utetezi wao Mahakamani.
Mwananchi na rafiki wa Demokrasia na haki hapa nchini, nakualika Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam kufuatilia kesi hii, yenye kosa kubwa kuliko makosa yote ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kuwa sehemu ya historia ya Taifa hili kwa kufuatilia kila hatua na ujifunze mengi yanayotokana na kesi hii.
Ikiwa uko karibu na unauwezo wa kufika Mahakamani, tukutane Mahakama kuu, Mwembeni.
TANZANIA DEMOCRACY FORUM
Topic: Transitional Justice, Accountability and National Healing.
📅 28th August 2026
⌚08:00 AM
📍 Wakili House, Dar es Salaam
📺 LIVE via Wakili TV
Tundu Lissu; Waheshimiwa Majaji
Siyo Rufiji tu nimekuwa mstari wa mbele kupigania haki za ardhi za wafugaji na Wananchi wanaoishi katika hifadhi ya Wanyamapori kama Ngorongoro, Loliondo, Tarime, Meatu, Bariadi Mashariki, Maswa Mashariki na ukanda wote wa mashariki ya Serengeti
Mwaka 2023 nilikamatwa Karatu nikazuiwa nisiende Ngorongoro kuwaona Wamasai niliokuwa nawapigania tangu mwaka 1996
Kauli mbiu yangu, Waheshimiwa Majaji, (my motto): “Upinzani dhidi ya ukandamizaji ni utiifu kwa Mungu” (Resistance to Oppression is obedience to God).
💪💪💪💪💪💪💪
“We ought to ask how is it that in Durban today Tanzania's president is allowed to sit amongst SADC heads of states when she's a product of what everyone has legitimately called illegitimate elections” Dr Mbuyiseni Ndlozi