@TitoMagoti Mama anasema ni watu kutoka nje ya nchi. Hii inapelekea watu kujiuliza, hao watu wa nje waliingiaje hapa nchini na wakasambaa mikoa yote hiyo?
@ExMayorUbungo Tangu Mbowe awe bize na mchakato wa uchaguzi kutaka kurejea kwenye nafasi yake, utekaji umesimama. @ExMayorUbungo unaweza kuunganisha dots??
@NdingoBest@CrownMediaTZ Hata Museven huwa anajibu kwa jeuri hivi hivi kama Mbowe. Mtu amekaa miaka 21 bado anajiona yeye tu katika chama ndiye anafaa kuwa mwenyekiti wa chama??? This is ridiculous!
@zingibermc@CrownMediaTZ@freemanmbowetz Umemaliza yote mkuu. Huyu bado ana fikra na mawazo ya mwaka 47. Chama anakiua kwa mikono yake mwenyewe. Nkurunzinza wa Machame huyu.