@S_Ngulinzira@ikulumawasliano@venusnyota@SuluhuSamia Uko sahihi kabisa. Vijana wanateseka mtaani huku mifuko ya jamii ikishikilia pesa zao walizosotea huku wakitamani kujiajiri wanaambiwa wasubiri wafikishe miaka 60. Totally unfair
@DosaRahma Mimi naona sometimes wazazi wako sawa kwa asilimia kubwa! Km mama hana maadili unategemea atakuwa mshauri mzuri kwa binti yake! Back ground ya kabila ni muhimu