Watu wanaweza kuchengesha riziki yako kwa muda lakini hawawezi kuizuia milele
Chenga zao hukukutanisha na watu na mafunzo yanayokuandaa kuitumia vyema riziki yako. Pengine bila chenga zao riziki hiyo isingekufaa
Unaweza kutuchelewesha kufikia malengo lakini huwezi kuzuia