@Olympism365@wizara_afyatz Representing URT in the Olympism365 Agenda where Tanzania becomes one of the early adopter of Community Sports for Health initiatives under IOC aimed at strengthening the role of sports as an important enabler for the Sustainable Development Goals-SDGs
PIMA KISUKARI;
✅ Ukigundua una kisukari mapema unaweza ishi maisha marefy na yenye afya kwa kuzingatia tiba na miongozo.
Tiba na ufuatiliaji stahiki husaidia kupunguza madhara ya kisukari kama:
♦️ Upofu
♦️ Ugonjwa wa figo
♦️ Ugonjwa wa moyo
♦️ Kiharusi
♦️ Kupiteza viungo
Fight NCD 365..
Everywhere. Everyday. Everyone
Energy Drinks (EDs). Matokeo namba 1 ni zao la kilevi "Caffeine" ambayo ni stimulant na Sukari kupita kiasi.
Kiasi kikubwa cha Caffeine (> 400mg au chupa 2 za EDs) inaweza kuongeza uhatarishi kwa matatizo ya Moyo, Presha & kiharusi
Health living & healthy aging: Honouring the life of a Physical Activity (PA) Champion Alhaj Ali Hassan Mwinyi the former President of the URT🇹🇿
King Kibaden 75 years is a living testimony
Thank you @muhimbiliuniver@fmashili for the launch of the PA Assessment & Training centre
Mazoezi ni muhimu kwa AFYA
Let's talk about the health and socioeconomic benefits of Physical activities & Exercises
Thank you @JamiiForums@MwananchiNews@fmashili@iocmedia@WHO@ummymwalimu for being part of the Tanzania FIGHT NCD 365 (Everywhere, Everyday. Everyone)
Thank you @MwananchiNews
The session was very informative and useful
Let's join hands to FIGHT NCDs
Remember in our very own society today
1 in 4 adults have Hypertension
1 in 10 have Diabetes
1 in 3 have high level of fats (Triglycerides) in blood &
1 in 3 are obese/overweight
@ummymwalimu Well-deserved award...
This is not just a recognition, it's a celebration of your hard work, determination & perseverance...
Congratulations Brother... @sunguyab
Mkurugenzi wa Kinga (Wizara ya Afya), Dkt. Ntuli Kapologwe amesema Idadi ya Watu wanaoishi na Magonjwa yasiyoambukiza inazidi kuongezeka Nchini hivyo ni muhimu kujua tunachopaswa kufanya ili kupunguza hali hii
Ameongeza kuwa kufanya Mazoezi katika timu ya zaidi ya Mtu mmoja inahamasisha kwani wengine hawawezi kufanya Mazoezi wenyewe
Pia, ametoa shukrani kwa Waziri Mkuu kwa kuagiza usajili kwa jogging clubs Nchini
#JamiiForums #MjadalaWaMazoezi #PublicHealth #Afya #JFSpaces
GLOBAL IMPACT AWARDS 2024
Tanzania imeibuka kinara tuzo ya Global Impact award 2024, inayotolewa na shirika la Global Health Catalyst katika mapambano dhidi ya Saratani kutokana na kinga kupitia Saratani zitokanazo na virusi vya HPV, kwa kutoa chanjo hiyo kwa mabinti wa umri wa miaka 9-14, Uchunguzi wa awali kwa saratani ya mlango wa kizazi, matiti na tezi dume, vifaa vya uchunguzi ikiwemo mashine mpya iliyosimikwa ORCI (PET-CT Scan), vifaa tiba na upatikanaji wa matibabu ya saratani kwa tiba mionzi (Radiation therapy) na tiba kemia (chemo) kulingana na rasilimali. Tuzo hiyo imepokelewa na NW @wizara_afyatz Dr. Mollel akiwa na ujumbe wake kutoka Tanzania Mkurugenzi wa Magonjwa yasiyoambukiza @babaheri, ED-ORCI Dr. Mwaiselage na Asha Ghembe.
During Tanzania - US investors’ forum on the future of cancer care in Africa. Then I had to take a photo with Dr @babaheri DNCD MOH and my all time brother @KagomaMd
Pumzika kwa Amani Mzee Ali Hassan Mwinyi. Binafsi nitakuenzi kwa kufanya mazoezi ya kutembea mara kwa mara.
---
Mwezi Desemba 2016, tulianzisha Kampeni ya Kitaifa ya "Afya Yangu, Mtaji Wangu" yenye lengo la kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi ili kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Mgeni Rasmi alikuwa Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa Makamu wa Rais kipindi hicho. Na kwa kutambua kuwa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni mtu anaefanya mazoezi kila siku tulimualika kama Mgeni wa heshma. Hakika alitoa hamasa kwa watu wengi.
Mzee Mwinyi akiwa na umri wa miaka 90 tulitembea nae mwanzo mwisho kwa umbali wa kilometa 5 na wala hakuchoka. Tena yeye alikuwa akitembea kwa mwendo wa haraka kuliko vijana wengi! Kama alivyoeleza Mhe Rais leo kuwa Mzee Mwinyi alikuwa ni mtu wa mazoezi! Alitueleza kuwa kila siku anafanya mazoezi ya kutembea kilometa 5.
Leo tunapompumzisha Mzee wetu ktk makazi yake ya kudumu, napenda kutoa rai kwa kila mmoja wetu kuchukua hatua za kulinda afya yake ikiwemo kufanya mazoezi angalau mara 4 kwa wiki kwa muda usiopungua dakika 40. Mazoezi ni muhimu sana katika kuzuia magonjwa yasiyoambukiza hususan Kisukari na Shinikizo la juu la Damu. Na endapo mtu tayari ana maradhi haya basi husaidia kwa kiasi kikubwa mtu kudhibiti magonjwa haya na kuishi maisha bora. Binafsi kila nikiona uvivu wa kufanya mazoezi huwa namkumbuka mzee Mwinyi wa umri wa miaka 90 na huwa napata nguvu na ari ya kufanya mazoezi. Hadithi ya Mzee Ali Hassan Mwinyi ni hadithi nzuri.
Pumzika kwa Amani mzee wetu. Binafsi nitakuenzi kwa kufanya mazoezi ya kutembea. #MtuNiAfya