Serikali ya Magufuli imekopa TZS 1.2 tril kujenga Shule kutoka kwa Benki la Dunia, lakini imetumia zaidi ya TZS 1.5 tril kununua ndege za ATCL na kuiendesha kwa HASARA! 🤣🤣🤦🏻♀️🤷🏽♀️
Na mnatuitwa sisi WASALITI?
Nakutakieni usiku mwema!
Hotuba ya MBOWE kesho ndiyo itanipa direction ya nini kifanyike post Meko era..
👉najua msimamo wake kuhusu tume huru na chaguzi huru uko pale pale na haujabadilika na hautabadilika
👉CHADEMA watajitofautisha na kujipambanua kama taasisi imara yenye vision ya taifa hili kuliko
JICHO LA ASSAD KWA MARAIS WALIOPITA
Mzee Mwinyi: Gave us Hope but...
Mzee Mkapa: Thuggish Regime
Mzee JK: his strategy Failed to push the Country forward
Mzee Magufuli: There was No clarity of what he wanted to do and what he did was not very well intended for this country.
#VIDEO: Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
#CAGReportTz#NondoZaAssad#TutaelewanaTu
"Utawala wa Hayati Magufuli haukuwa na dira ama maono ya nini hasa alikusudia kukifanya na mengi Aliyoyafanya hayakuwa hasa na nia njema kwa Nchi hii" Prof Mussa Assad, CAG mstaafu
"Sitakwenda kupiga kura nchi hii hadi tutakapomudu kupiga kura kidigitali. Napiga kura yangu naiona inakwenda kwa mlengwa.
Nchi hii tunapiga kura lakini hatuchaguani" ~ Prof Mussa Assad
I am proud of being a simba fan. I am even more proud to have served this beautiful club @SimbaSCTanzania ... well done to the players and management. I am proud of you @bvrbvra .
I'll be live on @VOASwahili in the next 20 minutes to talk about press freedom under dictator @MagufuliJP and what are the prospects under the leadership of his successor, @SuluhuSamia. So tune in if you've nothing else important to do this evening.