#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 290
Katuga: Ulisema Mashahidi waliolindwa walifanyaje?
Mhe. Lissu: Walikuwa ni washitakiwa na watuhumiwa wa makosa
Katuga: Sheria inawazuia wasiwe mashahidi
Mhe. Lissu: Haiwazuiii.
Katuga: Mashahidi wa Jeshi la Polisi walieleza kuwa walikamata wote?
Mhe. Lissu: Walisema wamewakamata waliowatambua.
Katuga: Kwahiyo kuna wengine hawakukamatwa?
Mhe. Lissu: Ntajuaje sasa?
Katuga: Ile kauli yako ya tutavuruga uchaguzi ulisema mtu yeyote anaweza kutafsiri anavyoona?
Mhe, Lissu: Sahihi
Katuga: Walisema hawa mashahidi kuwa waliyopanga yalitokana na maneno yako?
Mhe. Lissu: Najuaje sasa watu siwajui na siwafahamu. Nasemaje watakuwa wanasema ukweli.
Katuga: Katika ushahidi wako umeiambia mahakama hii tukufu kuwa hawa mashahidi hawasemi kweli?
Mhe. Lissu: Nimeiambia mahakama kuwa huu ushahidi ni wa wahalifu na ni waongo.
Katuga: Katika utetezi wako ulisema kuwa wewe uliwachochea?
Mhe. Lissu: Wapi nimesema hivyo? Sijasema mimi.
Katuga: Wanasema maneno yako ndio yaliwachochea sasa wewe uliwaambia majaji kuwa maneno haya hayawezi kuwachochea.
Mhe. Lissu: Nimewaambia Majaji maneno haya hayawezi kuwa uchochezi sio kosa pia. Labda kama ulikuwa umelala.
Katuga: Waheshimiwa naogopa kurudia maswali. Amekaa kimya anatafuta tafuta. Sasa wale mashahidi waliolindwa
Mhe, Lissu: mimi nimekwambia mashahidi waliofichwa hiyo kulindwa umetoa wapi?
Katuga: Witness protection ni nini kiswahili?
Mhe, Lissu: Mashahidi waliolindwa. Lakini sasa mimi nimesema kwangu ni mashahidi waliofichwa. Hiyo ya kulindwa ni yakwako.
Katuga: Je wale mashahidi walifichwa kweli?
Mhe. Lissu: ni ushahidi wangu kuwa hao mashahidi hawajulikani
Katuga: Huo ni ushahidi wa kuona au kusikia.
Mhe. Lissu: Ni ushahidi wa inference hakuna anayewajua isipokuwa mapolisi.
Katuga: Hizo ni speculations au ushahidi wa direct.
Mhe. Lissu: Huo ni ushahidi.
Katuga ameenda kunong'ona na wenzake.
Anauliza sasa swali: Nimehama kwenye inference. Maneno unawezekana maneno ya mashahidi wakulindwa inawezekana walikuwemo humu ndani wakati kesi inaendelea.
Mhe. Lissu: Nimeshasema hawajulikani na mtu yeyote.
Katuga: Ni kweli au sio kweli?
Mhe. Lissu: Ni ushahidi wa inference. Huelewi nini? Kwasababu mnawajua nyie peke yenu.
Katuga: Mimi sitoki hapa
Mhe. Lissu: Hata mimi sitoki.
Katuga: Mahakama inakunote
Mhe. Lissu: Kwanini wewe haikunote?
Katuga: kwahiyo ni kuona au kusikia?
Katuga: Shahidi shule si ulikuwa unafundishwa multiple choice?
Mhe. Lissu: Mimi sijafundishwa multiple choice. Mimi nimefundishwa critical thinking. Sheria unafundishwaje multipe choice? Ndio maana unakuwa mjinga.
Katuga: Hii kauli hawa mashahidi inawezekana walikuwepo mahakamani ni maoni au ushahidi?
Mhe. Lissu: Ni ushahidi wangu maoni kivipi.
Katuga: Kwenye ile video kuwa Majaji ni Maccm ulisema hukumbuki?
Mhe. Lissu: Nilisema nakumbuka. Huwa sikatai maneno yangu.
Katuga: Una kesi nyingine ya jinai ya kuchapisha taarifa za uongo?
Mhe. Lissu: Ipo Kisutu anawatajia hadi namba nyingine ya kesi.
Katuga: Ulisomewa hoja za awali na imeanza kusikilizwa?
Mhe. Lissu: Imesomwa lakini sikumbuki.
Katuga: Uliposomewa hoja za awali na kwamba ulitoa maneno kuwa majaji ni Ma CCM? Ulijibuje?
Mhe. Lissu: Sikumbuki. Sasa unaniulizaje hayo mengine.
Katuga: Mwenyekiti wa CHADEMA ni kweli ulitangaza kutogombea uchaguzi wa Mwaka jana?
Mhe. Lissu: Sikumbuki.
Katuga: Chama chako kilishiriki Uchaguzi mwaka jana?
Mhe. Lissu: Uchaguzi gani sasa? Hakikushiriki.
Part 291 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Nassoro Katuga; waambie waheshimiwa majaji kama ni kweli uliwaambia hawa mashahidi wa kificho hawajulikani Mahakamani isipokuwa kwa waendesha mashitaka?
Tundu Lissu: ndiyo, nimesema.
Nassoro Katuga; waambie kwamba haya maneno umesema kuonyesha ukweli wako
Tundu Lissu: kweli
Nassoro Katuga; ulileta kipingamizi jinsi kizimba cha mashahidi kilivyo?
Tundu Lissu; ndiyo
Nassoro Katuga; waambie kwamba baada ya kurebishwa majaji walikuwa wanawaona
Tundu Lissu; wanawaona lakini hawawajui majina wala chochote kuhusu wapo
Nassoro Katuga; iambie mahakama ulikuwa una refer mashahidi kwa P1 na P2
Tundu Lissu; P siyo jina la mtu ni jina bandia na hakuna mtu anaitwa P2
Mahakama; 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣
#Tanzania activist @mangekimambi is suing @Meta over claims it silenced her US accounts at Dodoma's request. As I tell @Sheriffb, a win in court would prove 'the government made us do it' isn't a shield, it's an admission that platforms cave to autocrats.
https://t.co/SSB8tzBoFB
Did Meta censor on Tanzania’s behalf? Activist Mange Kimambi takes tech giant to court!!!!
“It is similarly unacceptable for foreign officials to demand that American tech platforms adopt global content moderation policies or engage in censorship activity that reaches beyond their authority and into the United States.”-Marco Rubio, U.S. Secretary of State, May 28, 2025.
I stand firmly with this principle.
Salute to @elonmusk for keeping @X committed to what it claims to be -a platform for free expression.
Companies like @Meta should not think they can escape accountability while allegedly siding with oppressors or silencing voices while publicly claiming to support freedom of expression.
Salute to my friend @JoeWilson for directly raising these concerns with @Meta, and to the many quiet voices reaching out to their representatives demanding answers.
When one activist is silenced, it sets a dangerous precedent for others to be silenced.
Kudos to @mangekimambi for refusing to be silenced and for standing with Tanzanians whose voices have been taken from them - some through bullets, others through censorship.
The Africa Report has now published its investigation into the case:
https://t.co/9wzRZMV9kd
And this is bigger than one lawsuit.
Vice President Emmanuel John Nchimbi has resigned. Tundu Lissu remains detained. SADC and AU observers raised serious concerns about the October 2025 elections. 🇪🇺 The European Parliament has condemned the repression. And in Washington, the bipartisan Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act -introduced by Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz -is gaining momentum and bipartisan support.
The bill has already advanced through the Senate Foreign Relations Committee and is now on the Senate Legislative Calendar. It calls for a reassessment of U.S.-Tanzania relations in response to democratic backsliding, political repression and human-rights abuses.
More on the growing momentum and support for the bipartisan bill will be shared at a later date. 🇺🇸
Trust me: justice and truth will prevail. 🙏🏾🇹🇿
@BBCWorld@BBCAfrica@BBCNews@Reuters@AP@AFP@CNN@nytimes@guardian@TheEconomist@ForeignPolicy@VOANews@StateDept@marcorubio@SenateForeign@HouseForeign@SenatorShaheen@SenTedCruz@RepJoeWilson@ChrisCoons@SenatorRisch@MarcoRubio@SecVetAffairs@RepMcCormick@USAmbUN@EUparliament@EP_HumanRights@USCIRF@amnesty@hrw@freedomhouse@CFR_org@AtlanticCouncil@NDI@IRIglobal@NEDemocracy@RepGregSteube
Nimetimiza AHADI YANGU KUCHANGIA CHADEMA 1M baada ya kufikisha MILIONI 300 (NIMEFIKISHA JUMLA 7M NDANI YA SIKU 46).
Niliacha kuenda KANISANI na kuwa muumini WA HAKI.
SADAKA yangu siku zote ni kuchangia WAPIGANIA HAKI.
Nilianza kampeni hii ya kuichangia chadema kwa kuchangia 1M siku 46 nyuma.
Nikaja kuanzisha challenge kwa wapenda HAKI WENZANGU kwamba tukifikia MILIONI 100 basi nitachangia tena 2M Nilifanya hivyo.
Nikaongeza challenge kwa WAPENDA HAKI kama tutafikia MILIONI 200 basi nitachangia tena MILIONI 3 nilifanya hivyo.
Kisha nikaongeza Challenge kama tutafikia MILIONI 300 basi nitachangia tena MILIONI 1 leo nimefanya hivyo.
Mpaka sasa nimechangia jumla ya MILIONI 7 ndani ya siku 46.
Lengo la hii kampeni ni kukusanya MILIONI 334 bado milioni 33 kwasasa tunaweza kufikia.
Kuchangia CHADEMA kwangu ni SADAKA baada ya ibada KAMILI YA KUPIGANIA HAKI.
Kama ulichangia basi fanya KUCHANGIA TENA NA TENA kama nilivyofanya mimi.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 500
Niliandika hii posti kuhusu Nchimbi miaka 2 iliyopita. Niliwaambia Watanzania miaka 2 iliyopita kuwa CCM lazma watamuondoa Nchimbi….
I was 100% sure kuwa yoyote ambae ni old school CCM nikimaanisha wenye mentality kama za kina Mzee Kingunge hatokubali hizi siasa zinazoangamiza nchi na wananchi wake…..
MaCCM wa zamani walikuwa ni wadokozi tu ila kuna sehemu ya mioyo yao ilikuwa ina bleed Tanganyika and no money in the world could make them sell out.
Hawa vijana wa CCM ya leo ni mambwa koko, wanaangalia nchi inapukutuka wao wanajali vyeo tu…
Watanzania ile CCM tuliyokuwa tunaijua haipo tena. Ukimuona Mtanzania bado anavaa nguo za CCM, mpeleke Mirembe ana matatizo ya akili huyo….
CCM imekata moto…..
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu. Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
Mkeka wa Utetezi wa Tundu Lissu ni darasa adimu la historia ya maisha yake, majitoleo, maumivu, (matumizi ya) sheria za nchi na siasa zetu. Soothing to hear and read. What a Man! Freedom is coming tomorrow!
Last week, the Tanzanian government suspended a local newspaper for 6 months for reporting that the country’s vice president had refused to resign.
Today, VP Emmanuel Nchimbi announced he’s resigning after a year in the job 👀
The IDU is gravely concerned by today's High Court ruling in Dar es Salaam ordering our Vice Chairman @TunduALissu to stand trial for treason — a charge carrying the death penalty.
After 16 months in detention for a speech, this ruling prolongs a politically motivated prosecution designed to silence Tanzania's opposition. We call for his immediate and unconditional release, and urge democratic governments worldwide to do the same. #FreeTunduLissu 🇹🇿
Nimewaonya sana majaji wasikubali kuendeshwa na akili za fomfoo felia
Haya mi nipo nawazoom tu!
Jaji Dunstan Ndunguru (Kiongozi wa jopo)
Jaji James Karayemaha
Jaji Ferdinand Kiwonde
Mmeshaingia kwenye historia MBAYA
Nawahurumia sana hawa majaji na familia zao maana future yao ni mbaya tu!
Eniwei A LUTA CONTINUA!
#FreeTunduLissu #TutaelewanaTu
Nilikuwepo bungeni wakati mwenyekiti anayasema haya..
Polepole alikuwepo na alikua Mwenezi wa ccm kama huyu kijana Kihongosi wa sasa.. alikua chini ya Magufuli na aliamini haya yatawakuta Chadema tu.
Nyie mnaotumika kudhuru kuumiza na kutesa watu.
Your time will come. Acheni upuuzi huo mara moja.
Rais sio Mungu lazima atasemwa na atakosolewa.
Wewe kesi yako na anguko lako vinasubiriwa na dinia nzima. Mtese Tundu Lissu kadri uwezavyo. But be sure that your fair share is coming. It is well, na tutaanza na wewe kama shahidi. Ndoano utatema tu.