Ghafla “katibu Mkuu wa chama tawala” na “Makamu wa Rais” amegeuka kuwa adui wa umma.
Kosa lake kubwa ni kusema “pambaneni mpate katika mpya,” jambo lile lile ambalo kila siku tunaambiwa “ni ajenda ya mtukufu Rais.”
Kauli ya Jaji Mkuu kwamba watumishi wasiwe wanaharakati wa haki ni fedheha kubwa kwa Mahakama na Taifa.
Haki si uanaharakati. Haki ni msingi wa utumishi. Mtumishi wa anapopaswa kuisimamia haki, hawezi kuambiwa asiwe na msimamo juu ya haki.
Tatizo si mtumishi kuwa mwanaharakati wa haki, tatizo ni pale haki inapogeuzwa kuwa jambo la kisiasa au tishio kwa mfumo.
Mahakama yenye nguvu haiogopi watu wanaotetea na kupigania haki, bali inapaswa kuwa mstari wa kwanza kuilinda.
Sikulala vizuri nikitafuta majibu! Najiuliza: baadhi ya Wa-Tanganyika hawana hata visa ya kuishi na kutembea kwa uhuru nchini kwao; wananyimwa haki ya msingi ya kutembea bila hofu ya kutekwa, kupotezwa au kuuawa, lakini hilo haliwapi hamasa ya kuwatetea. Badala yake, wanalilia visa ya Marekani 😢
Msigwa aliona kabisa serikali ya Samia ikimpiga risasi Lissu nusu kumuua;
Msigwa akaona serikali ya Samia ikimpakazia mwenyekiti wake Mbowe kesi ya ugaidi na kumweka magereza kwa zaidi ya siku 200 akisubiri kunyongwa;
Msigwa akashuhudia mzee Ali Kibao akiuawa kinyama na wengine kibao wakitekwa;
Msigwa akaona dhahiri ukatili wa ajabu unaofanywa na dola, tena kwa kiburi cha hali ya juu.
Katikati ya yote hayo, bado akachagua kujiunga na CCM. Alikuwa na options nyingi tu, ikiwemo kujiunga na chama kingine cha upinzani au hata kupumzika siasa kwa muda.
LAKINI AKAAMUA KUJIUNGA NA WALE WALE WANAOTEKELEZA YALE YALE ILI NA YEYE AWE MTEKELEZAJI WA YALE YALE.
Akachagua kuzunguka kila kona nchini akiziimba sifa za MTUKUFU SAMIA; tena akaimba sifa hizi wakati rafiki yake, Tundu Lissu, akiwa amewekwa magereza na Samia kwa kesi ile ile ya Mbowe; Kesi ambayo adhabu yake ni kifo.
Akachagua kushiriki sio tu kuratibu na kuhalalisha ushenzi uliopewa jina la uchaguzi, bali pia mauwaji ya kinyama ya maelfu ya watanzania—yote kwa sababu ya tamaa ya madaraka.
Alifanya yote haya pasipo kujali wala kuona haya.
Leo ghafla baada ya kukosa teuzi anarudi anakwambia “nafsi imenisuta, nimeamua kurudi” na CHADEMA inamshangilia.
Jiheshimuni bhana, hata malaya wana mipaka—pardon my French.
@Twaha_Mwaipaya Toa usenge hapa , hii nayo ni habari ? Kuna wakati mnakera sana ? The country is in the middle of a bloody war and all you bring up ni hii ngombe itakuwepo Dodoma? Chadema sio genge la wahuni na wasaliti.
The fact that you were able to travel to Tanzania, investigate - for 7 months 🥹- the events surrounding the October 29 killings, leave the country safely, and are now planning to premiere the documentary, including in Dar es Salaam, says quite a lot about the narrative being presented and raises important questions about the documentary’s credibility.
Watu wanasepa kwa mi-press kibao ya kuibagaza taasisi huko vichochoroni, haitoshi wanakwenda wanatumika kuusafisha mfumo unaowaumiza raia na viongozi wenzetu/wetu. Anaporejea anapewa umuhimu mpaka na viongozi wakuu.!! Kwanini asiitishe press zake kama alivyoondoka? Mnazingua.!
Huyu Mtu hakuwa ana wa'attack viongozi waliomfanyia ujinga ndani ya CHADEMA.
Huyu Mtu alikua anai'attack CHADEMA huyu angepewa cheo angetoa kila siri na kila neno la CHADEMA.
Huyu hakupewa hela nzuri tu ndio maana hakufika mahali alitaka kufika.
BARUA YA WAZI KWA CHADEMA
Chama cha siasa ni ideology; uanachama wa chama cha siasa ni values.
Chama cha siasa kinajipambanua kwa vile kinavyoamini kuhusu sera ya umma na namna jamii inavyopaswa kuenenda.
Uanachama na ufuasi wa chama cha siasa unatokea pale ambapo values za mtu binafsi zinalandana na ideology ya chama cha siasa.
Ideology ya chama cha siasa ni kama sumaku, inavuta values zinazolandana nacho.
Katika tafsiri hii, haiwezekani mtu leo akawa CHADEMA kesho akawa CCM halafu keshokutwa akawa CHADEMA.
Haiwezekani leo ukawa progressive kesho ukawa conservative halafu keshokutwa ukawa tena progressive.
Haiwezekani leo ukawa mjamaa kesho ukawa mbepari halafu keshokutwa ukawa tena mjamaa.
Hata ikitokea kwamba mwanachama wa chama cha siasa hakubaliani na mambo fulani ndani ya chama chake kiasi cha kutaka kujiondoa, ni vigumu kwa mwanachama huyu kujiunga na chama cha siasa chenye ideology tofauti kabisa na ile ya chama chake.
Ni vigumu kwa sababu values zake zilizomvuta na kujikuta amekuwa mwanachama wa chama chenye ideology A hazilandani na chama chenye ideology B.
Ikifika hatua mtu akawa na uwezo wa kuhama vyama vya siasa atakavyo, tena vyama ambavyo ni two extremes sawa na mashariki na magharibi, kuna vitu vikubwa viwili:
1. Huyu mtu sio mwanachama wala mwanasiasa, ni opportunist. Ni ile aina ya wanasiasa ambao Mwalimu Nyerere aliwaita “wanasiasa malaya malaya.”
Ni malaya malaya kwa sababu hawana values; hawavutwi na ideology. Kama hauna values maana yake ni kwamba unafit popote, ni mercenary kwa lugha ya Mwalimu. All you care about is money, fame, and material rewards. That’s all.
2. Chama kinachomruhusu yeyote kutoka na kuingia atakavyo sio chama cha siasa, ni version ya chama dola.
CCM ni mfano mzuri wa chama dola kwa sababu hakina ideology wala wanachama wake hawana values. Kinachowaleta pamoja ni kitu kimoja tu, MADARAKA; ni MASLAHI BINAFSI.
Yeyote anaweza kusajiliwa CCM, muhimu awe tu na uwezo wa kupata madaraka. Pesa na fame ndio values za CCM, yeyote mwenye haya anaweza kusajiliwa.
Hii inamaanisha pia chama cha siasa kama CHADEMA kikianza kuwa na tabia hizi za chama dola nacho kinageuka kuwa version ya chama dola.
Yani kinakuwa chama dola kisichokuwa na dola. Which means kama kikipata dola nacho kitabehave vile vile kama chama dola.
Kwa mantiki hiyo kitafit kabisa ile tafsiri ya “CCM B.”
Na ukitaka kuupima ukweli wa hili, sikiliza ile kauli ya “CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA, MALENGO YAKE MAKUU NI KUSHIKA DOLA.”
Hii ni kauli inayoweza kutolewa na watu wasiokuwa na values ndani ya chama dola. Yes, malengo makuu ya CHADEMA KUSHIKA DOLA kama wasemavyo watu hawa hayatofautiani kivyovyote vile na malengo makuu ya CCM KUENDELEA KUBAKI KWENYE DOLA kwa njia yoyote ile.
Wote wana through line moja, DOLA KWANZA UMMA BAADAE. Hii inamaanisha pia watu hawa hawajali matatizo halisi ya umma, isipokuwa wanayatumia instrumentally kufikia malengo yao (I TRULLY HOPE THIS IS NOT THE CASE).
Hata hivyo changamoto kubwa hapa ni kwamba CHADEMA ikiamua kuwa na tabia za chama dola, kamwe haiwezi kuwa mbadala wa chama dola kwa sababu kitabia na yenyewe inakuwa chama dola.
Ikifikia hatua hiyo, CHADEMA inabadilika na kuwa mtaji mzuri sana wa kuhalalisha matendo ya chama dola na malengo yake ya kuendelea kubaki kwenye dola.
Kazi ya chama dola itakuwa kusema tu, “si mnawaona hata wao? Kuna chochote cha tofauti mnachokiona kwao?”
Matokeo yake ni kuukatisha umma tamaa kwa kuufanya ufikie hitimisho kuwa “wote ni walewale.”
Natamani CHADEMA ingejipambanua kama CHAMA CHA SIASA CHENYE IDEOLOGY NA WANACHAMA WENYE VALUES badala ya version ya chama dola inayorudufisha umalaya wa kisiasa.
Ideology inatengeneza integrity, na matokeo ya integrity ni imani ya umma.
Natumaini CHADEMA haitawafikisha watanzania kwenye ile Orwellian state ambapo wanyama waliwaangalia wanadamu kisha wakajiangalia wenyewe kisha wakawaangalia tena wanadamu na kushindwa kuelewa wapi ni wanyama na wapi ni wanadamu.
Ahsante!
HALIMA MDEE hatujui walishawishiwa na nani kwenda bungeni, Yawezekana Mwenyekiti mstaafu ni moja ya watu waliokua wakijua nini kinaendelea.
HALIMA hajawahi kuwa CCM, labda kama nakosea niambiwe, HALIMA aliwahi shiriki Kampeni akiwa CCM? aliwahi msifia mtawala?, Aliwahi ikandia CHADEMA?
Yeye alipofukuzwa Uanachama aliamua kwenda Kulima mahindi, sababu kujiunga na CCM ni kusaliti misimamo yako uliyokua ukihubiri.
Sasa MSIGWA alienda CCM akaikandia CHADEMA, kasifia watawala.
Mara 1000 bora HALIMA kuliko MSIGWA.
Hivi Zisty Nyahoza akijiunga na yeye anaweza kupongezwa?
Kuna watu wanahitaji kujibu maswali mengi sana kabla ya kukubalika kuwa sehemu ya jamii flani.
Msaliti hafurahiwi akirudi. Anaulizwa maswali
@ChademaTZ2@MsigwaPeter Ukosefu wa misingi imara (integrity) ndio unaofanya chama kionekane kama kituo cha mabasi kila mtu anashuka na kupanda anavyotaka. Hakuna nidhamu ya kulinda taasisi, leo msaliti, kesho shujaa. Wananchi wanaojitolea ndio wanaoumia! 🚶♂️💨
Wewe ni malaya mzoefu wa kisiasa, aren’t you?
Umerudi kwakuwa ccm wameuwa, au kwakuwa hukuamini watauwa?
Walianza kuuwa Oktoba 29?
For some of us it, it will take a village to trust clowns like you!
Pole sana!
Pleased to see Makonda's attention seeking behaviour is putting a spotlight on the things they're trying to bury.
Also...mapokezi ya kishamba sana, i wouldnt post that shit either.
Mimi nimekaa GEREZANI kwa muda wa miaka 2. Uzoefu nilionao ni kwamba; MAHABUSU au MFUNGWA wa KIKE haruhusiwi KUVAA HERENI kama huyo 👇. Jambo hili linafanya TUKIO lote la siku ile lionekane kama ni KAOLE SANAA GROUP.😂😂
Mtu una kipaji chako cha Kuimba, Una Akili zako Timamu, sasa sijui kwanini unaenda Bongo Star Search, Wale jamaa wapo zaidi kufanya dharau, Shindano washindi wake wanaishia kwenye mashamba ya miwa.
Ni bora ukomae kwenye mitandao ya kijamii kuliko kwenda kupoteza muda kule.
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother.
We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening.
It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.