@Arnold99460204@NellyNyamandege@Addy_Adams Huko ndo kuna idadi ya watu wengi kwasababu ni moja ya maeneo ambayo hukutanisha watu kutoka sehemu mbalimbali na malengo ya chadema ni kila mtu Tanzania hii apate elimu ya no reforms no election
Note;siasa haifanyiwi chooni