@kapeto98 Timu ipo ila bingwa atakuwa yanga Tena .. kitachoongezeka ni malalamiko tu wale jamaa ni kama mboga mboga ikibid hata kuwa watu iliwashinde it ok to them
@mwatika01@Maestrowafact Hkuna kitu kinanifanya nijiskie vbaya kama huyo kuwa dada angu au mtoto wangu au mama angu alhamdulilah mim dada zangu wote wanne sjawah muona hata mmoja amevaa surual au skert Fup nashukuru mungu kwa malez ya wazaz wetu mungu awalaze pema
@mwatika01@Maestrowafact Safii kbisaa sio bahat mbaya hii ni agenda za watu Zina workout... Jando na unyago zlkuwa basic kwa jamii yetu tumefel sana kuziondo zile kisa umagharibi matokeo yake Ndio hii mindset kama ulionayo
@mwatika01@Maestrowafact Kwa mwanao au mke wako au mdgo au dada yako au mother hii fresh kbisaa
Kwenye hii Dunia Kuna kitu kinaitwa tamaduni brother huyo hapo sio Shakira na sio mcolombia wala haish ulaya na hyo Kaz hapo kafanya bongo.. umeniujza madhara yatakayokuja baada ya watu kuiga kuanza vtu km hv
@mwatika01@kazinja71@mlinganya Mpira wa sasa Ndio overrated na baada ya mes na Ronaldo hamuwez kuona talent za vile Tena sabab wachezaj wanacheza kama marobot.. saiz it's about mifumo na system of playing ukizidiwa technically hizo umefungwa
@Popesontag@George_Ambangil@Iric_WatchMe Hapana mfumo unamchagua mpaka mtu anatakiwa kuwa na hizo namba .. nenda skilza Ile interview ya prince boating alivyo ambiwa ahamie kale katimu ka Italy alimwambiaje.. Yan kocha anapotengeneza mfumo Kuna watu unawazuia kufanya Zaid ya uwezo wao
@Kennykabe77@George_Ambangil@Iric_WatchMe Sawa kwenye namna ya kuona vitu ni tofaut kwa binadam.. wambele anaona sita wa nyuma anaona 9 wa pemben anaona herfi g acha tuish kila mtu na mtazamo wake
@Popesontag@George_Ambangil@Iric_WatchMe Hapana mipira ya saiz ni rahis na inaruhusu wachezaj wa kawaida kucheza top team Cha msing kwake ni kuweza kuskilza na kufata maelezo ya mwalim system style of playing kila kitu mwalim anatrain top talent anakuwa sawa na WA kawaida mwenyew uelewa kwenye mahitaj ya mwl
@mushij685@Iric_WatchMe@luidedan@George_Ambangil Sahih na siku hiz bro magol marahis et inakaba mifumo oya those days unakutana kwanza na Mido six imechanganyikiwa inajua bol na ipo aggressive inagonga kinyama Lete umama uone Kaz ... Angalia gol za mbape Jana๐ฎ