@CinosonJESUS@officialshakuu Saafi muongezee afanye na mazoezi ya kuongeza pumzi kama kukimbia na kata tumbo afanye hivyo kwa wiki mbili hadi nne arudi kushuru
@Joshuamsuya_ @iAmLyimo Haujamuelewa kinachompa simanzi kaka inaumiza sana, jamaa kumpoteza rafiki yake ambaye bado ni kijana aliyekuwa anapambana kuiweka kesho yake, familia yake na taifa katika hali nzuri
@TaidiMiah @max_zitatu Walishawai kutupiga tukio hilo kipindi tunahamia nyumba yetu, walisafisha vitu vyote tukiwa tumelala afu wakaacha kimba mlangoni sijawahi sahau hii kitu