Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa maridhiano ya kweli nchini hayawezi kuwa suala la kumtoa Tundu Lissu Gerezani pekee, bali ni kurudisha Taifa katika misingi ya sheria, haki na utaratibu ili kila Mwananchi aweze kupata haki yake bila upendeleo.
Lema ameyasema hayo leo Mei 08, 2026 Jijini Arusha wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Soko Kuu Arusha mbele ya Wanachama na wafuasi wa CHADEMA, ambapo alizungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa na hali ya demokrasia Nchini huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya Katiba na utawala wa sheria. #MillardAyoUPDATES
.@tanpol ni taasisi ya kikoloni, haikuwahi kukusudiwa kamwe kukidhi matakwa ya watu wa tabaka la chini kama mimi na wewe. haipaswi kuwepo, haina faida yoyote labda kwa watawala haramu na vibaraka wao. (asante @INFLUENCERjr kwa kuileta hii video huku).
Kuna interview za muandishi na wakili msomi MAYALA zimeachiwa jana kuhusu KUTEKWA kwa Muandishi "Azory" na kuongelea ripoti ya KYANDE, Ile interview naipataje niiangalie yote.
Jamaa limeongea vizuri sana.
These are particularly powerful messages of solidarity with the people of Tanzania and a strong condemnation of the regime of @SuluhuSamia and @ccm_tanzania over the killings and ongoing campaign of enforced disappearances targeting critics and dissenting voices.
We sincerely thank @SFRCdems and @SenateForeign for standing with the people of Tanzania in their struggle for human rights, democracy, justice, and accountability.
#BREAKING: MAMBO YACHACHA TANZANIA! CHADEMA KUZINDUA OPARESHENI FREE TUNDU LISSU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Victoria kimesema ndani ya wiki tatu kinaenda kuzindua operesheni ya Katiba mpya free Tundu Lissu.
ZAIDI: https://t.co/dSlLCoK0xM
Wangekuwa na akili kwa sasa wangekuwa wameshakimbia kama yule mama wa Bangladesh, hila hawa naona watadakwa siku moja kama kumbikumbi
mataifa yote makubwa yanasema wananchi waliuwawa kwa Maelfu wakati wa Uchaguzi
Mataifa yote makubwa na Jumuiya za kimataifa zinadai uwajibikaji, tena sio wa kupaka rangi
sasa nachoshangaa si wanasema wana wajomba Oman , si wakimbilie huko au wajomba wanaogopa Noma ? Ni kiburi tu lakini hizi mambo hakuna namna Dunia itawavumilia, hakuna Dunia inataka watu kuchinjwa kama kuku watu wameshatoka kwenye huo ushenzi
Ila Kabudi ni mpambe nuksi, amemwambia mambo yako vizuri ngoja tuone , Kabudi angekuwa na hizo nguvu si tungeshinda makesi kibao tunayopiga kila siku kimataifa toka wakati yuko na MAGUFULI ? AG Johari ndiye bure kabisa na udini ulimvaa mwili mzima, wanapambana na wananchi kwa kuwaweka kwenye makundi ya dini? ngoja tuone kama wao wataweza hakuna nchi serikali imewahi fanya haya waliyo kwisha fanya ikabaki salama
#TANZANIA: MAUMIVU ALIYONAYO MAMA YAKE JAMES TEMBA NI SEHEMU YA MAUMIVU WALIYONAYO WAKINA MAMA WENGINE - FESTO
Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana wa @ChademaTZ2 Taifa, @FeliusFesto leo Mei 07, 2026 akizungumza na Vyombo vya Habari amesema kifo cha James Temba ni cha kikatiri sana na maumivu aliyonayo mama yake James Temba ni sehemu ya maumivu waliyonayo wakina mama wengi ambao watoto wao walitekwa na hawajulikani walipo hadi hivi sasa na vijana wengine kuuawa mpaka leo miili yao haijawahi kupatikana.
"Kuna familia nyingi zimebeba maumivu ya namna hiyo, hii inatuonyesha ni jamii ya namna gani ambayo tunayo kwenye nchi yetu, tunaendelea kutengeneza jamii iliyojaa huzuni na maumivu na visasi mioyoni mwao ambayo havitaisha bila kuchukuwa haki, ukweli na uwajibikaji" - Felius Festo
Zaidi: https://t.co/mT8BfkMcpH
🚨SULUHU’S MASSACRE COVER-UP EXPOSED: RELEASE THE REPORT & FREE TUNDU LISSU NOW!🔥
@USCongress@usembassytz
ENOUGH! @SuluhuSamia admitted the commission inquiry report belongs to HER and Tanzanian law lets her bury it forever. No public release.
If America actually wants to help Tanzanians, hold Suluhu ACCOUNTABLE for the October 29, 2025 massacre of innocent civilians and FREE Tundu Lissu IMMEDIATELY!
No more excuses. Act NOW.🔥
Udikteta, kuua, kuteka , kupoteza na kufunga watu kwasababu wana mawazo tofauti na yako..
Haiishii kwako tu, unawambia na Nchi nyingine wafanye kama wewe!!!
Wakenya wamekataa.