@anon_codex Kwanza gari ni lako wewe ndo mwenye maamuzi ya kutoa lift au kutotoa, pili kama umeamua kutoa lift mfikishe hadi ifisini kwako mwendo uliobaki atafute usafiri mwingine simple and clear
@INFLUENCERjr usafiri wa umma bado haujaeleweka , ingepatikana root ya Daladala ya Mbezi Luois kupita Makongo juu pangekuwa mzuka, vibajaji ni gharama sana , imagine kutoka Mcity hadi Goba Center ni 2000 ambayo ni gharama sana na kama unaingia ndani ndani panakuwa na gharama zaidi
@chapo255@boss_mendez2 25M uongo kodi yenyewe ni 14M na ushee kuifikisha bandarini hamna hamna USD 5000 hapo hyo ya bei hyo ni diesel ambayo imetembea km za kutosha petrol usiguse
Portcharges nazo hujaziweka ,
@SonsRoos@samatimemagari Diesel inahitaji uangalizi mkubwa hasa upande wa service na mafuta yetu haya yaliyochakachuliwa unaweza kukuta mafuta unachanganya na oil head gasket inavujusha