@bonifacejoseph_ Sub ya Odegaard haijawahi kuwa ESR. Nafasi ya ESR imezibwa na Merino.
Fabio Viera ndio alikua RCM anayemfata, hiyo nafasi kaachiwa Nwaneri kwa sasa.
@rayasel94@ricksonbm Fans tunaongozwa sana na hisia kuliko uhalisia! ESR OUT, Merino IN. Fabio OUT, Nwaneri IN! Tulikua tunalaumu Nwaneri hapati nafasi, kapandishwa sahv tunalalamika aliyemuachia nafasi asingeondoka 😂
Fabio bado hana physic ya kupambana EPL na injury prone, Nwaneri is better choice
@rayasel94 Hiyo ilikua draw ya opponents haimaanishi kwamba mpangilio wa mechi ndio huo. Fixture zitaachiwa Jumamosi. Tunaweza tukaanza hata na Girona away
@UmeingiaTarime@tanpol Kuna wkt tunawalaumu Polisi bure, hivi km hakuna aliyeenda kushtaki kwa miezi mi3 Polisi watajuaje kuna kosa limetendeka?
Ni kweli waliosambaza wamesaidia kwa kiasi kikubwa kufichua ukatili ila sheria haiko upande wao. Kosa ni kosa haijalishi umefanya kwa mema au mabaya.
@pakaaido@_Kelvin_P@George_Ambangil Hakuna ambaye hajawahi kukosea duniani ila mfano wako ulioleta sio sahihi, Ornstein hakukosea kitu kwenye hiyo habari.
Na hii habari ya Todibo pia hakuna aliyekosea ukisoma vizuri maelezo yao, ni lugha tu ya kuwasilisha imetofautiana.
@pakaaido@_Kelvin_P@George_Ambangil Bado hana makosa hapo, Liverpool walikubaliana na Brighton.
Na aliandika “Personal terms a formality + medical on Friday”. Caicedo akachomoa mwenyewe
@Aydidkingkunta @Ms_Rashfody @iboysean Usalama wa nchi hauendeshwi hivyo popote pale duniani. Haijalishi we ni nani na una umaarufu gani ukiwa nchi ya ugenini lazima utaulizwa vitu hivyo.
Kwa mantiki yako watu maarufu wote wawe wanasafiri bila kuulizwa kisa wanajielewa sio?
@Ms_Rashfody @iboysean Passport lazima iombwe ili kujiridhisha kama yupo nchini kihalali. Inawezekana Visa yake imesha expire au aliingia kimagendo vyote vinawezekana, afisa uhamiaji lazima ajiridhishe