@Dexter_255@godbless_lema Bandari ipo salama kwa tija ya serikali na hongezeko la pato la serikali litakuwa kubwa mara 5 ya sasa tuisapoti serikali yetu.Maana mheshimiwa rais ana malengo mema na Nchi yetu.
Kweli maisha yanabadilika kwa kasi sana sasa hivi na sisi tunajeuri ya kuwafungia mipaka wazungu na kusema hatutaki ndege zenu zitue hapa kwenye viwanja vyetu tena kwa sauti kubwa. Kweli maisha ni kama gwalide wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza.