My p. @Pharmaceutical science
& i love๐
-Government support skills
-Political skills
-Human skills
-Law & Ethics Skills
-Human right & Approacher Skills โ๐น๐ฟ
@ChangeTanzania Spika wa bunge la Tanzania na wabunge mnaotaka kuongeza muhula wa ukomo wa rais mmeisaliti katiba yetu ya tanzania maana mliapa kuihifadhi na kuilinda ninyi nyote ni wasaliti na mmetukosea sana wananchi maana tuliwapeleka bungeni ili kuilinda katiba na mliapa kwa vitabu vya Mungu
@Nipashetz Hope zitatumika vyema na kurudisha mremesho wa heshima kwa rafiki zetu wa mataifa yaliyotuchangia tukawastiri wa hanga kwa nyumba walau standard na kurekebisha zilizo pata nyufa ili thamani ya fedha ikaonekane ๐
Kuhusu Makamu wa Rais
Kuna maneno na minongโono mingi kuhusu alipo Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango. Gazeti la Raia Mwema limearifu kwamba zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu aonekane hadharani kwa mara ya mwisho. Huyu ni mtu mkubwa kwa taifa letu. Namba mbili kwa mamlaka
Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ya Mwaka 2023 itaanza kutumika Tanzania Bara kwa tarehe ambayo itaelezwa kwenye tangazo litakalochapishwa kwenye Gazeti la Serikali na itakuwa ni lazima kwa Watu wote
Kifungu cha 37.-(1) kinasema Mtu yeyote (Isipokuwa kwa wageni wanaoingia Nchini) ambaye bila sababu za msingi atashindwa kujiunga na Skimu ya Bima ya Afya ndani ya Miaka Mitatu tangu kuanza kutumika kwa Sheria, atakapojiunga, atalazimika kulipa riba ya asilimia 10 ya kiwango cha uchangiaji kwa kila Mwaka wa Uchangiaji.
Kufahamu zaidi Sheria hii, Soma https://t.co/mJ5gotktSZ
#JamiiForums #BimaYaAfyaKwaWote #PublicHealth #Afya
Shangazi mm nashangaasana mtu akiwamzima tunaambiwatu uombee ila mwengine akiwa mgonjwa ni siri hawataki dua zile zile tumuombee sasa kumbe ule usemi wakikulacho ki nguoni mwako ndo huapply hii theory serikalini๐๐Dua zetu ni nyingi na ni nzuri maana zinaondoa dhambi kwa mgonjwa
Waswahili bhanaโฆโฆ.
๐บ๐ธ Rais au Makamu wake wakiumwa wananchi wanaelezwa maana ugonjwa wao una constitutional impact.
Kwetu UGONJWA ni MAJUKUMU mengine.
Mungu atusaidie maana kuna uongo mwengine hauna MANTIKI kabisa. Hata DUA zetu hamtaki?
๐๐๐
Sasa kama Rais kaweza kuahirisha ziara yake ughaibuni na amefika nchini kuungana na watanzania ambao ni wapiga kura wake namba mbili wake yuko wapi ambaye hajui nchi yake inamajanga na akarudi kuungana na watanzania wenzake pamoja na namba moja wake yuko wapi Vp tuungane naye?
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alikuwa Dubai kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), kabla ya kufupisha safari hiyo na kurejea nchini ili kushughulikia kwa karibu janga la mafuriko Wilayani Hanang amesema akiwa Dubai Mashirika mbalimbali yamechangia Tsh. bilioni 2.5 kwa ajili ya kusaidia Waathirika wa janga hilo.
Akiongea na Wananchi walioathirika na janga hilo katika Shule ya Msingi Katesh Wilayani Hanang leo December 07,2023, Rais Samia amesema โNawashukuru Watanzania waliotoa msaada kwa njia moja au nyingine, huu ndio upendo tunaozungumza siku zote, janga lilipotokea nilikuwa safarini, taarifa zimetoka wenzetu kule wamesikia na kwahiyo wenzetu kule wengi tu Mashirika yaliyokuwepo kule wametuchangia kiasi cha Tsh. bilioni 2.5 na nimeelekeza waziingize benkiโ
โMpango kamili ukitimia wa Waziri Mkuu basi fedha za matumizi zipo pale na tunategemea michango zaidi ili tutimize mpango wetu wa kukamilisha makazi kwa walioathirika, wito wangu kwa Kamati ni kufanya matumizi mazuri ya fedha zinazokusanywa, fedha za majanga sio za kumnufaisha Mtu binafsi kwahiyo tuwe Waadilifuโ
#MillardAyoUPDATES
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo @kitilam amewataka mabalozi wa nashina kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika mwaka 2024.
Akizungumza na mabalozi wa mashina katika kata ya Manzese baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wananchi Prof. Kitila amesema kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa wananchi na viongozi wanapaswa kujiandaa na kuzungumza mambo yanayofanywa na Serikali.
Prof. Kitila amesema uchaguzi wa awamu hii utakuwa na ushindani mkubwa baina ya vyama vya siasa hivyo ipo haja ya kuweka wagombea wanaokubalika na Wananchi na siyo wanaopendwa na viongozi.
Amesema sheria ya uchaguzi imebadilishwa na hairuhusu mgombea kupita bila kupingwa, hivyo hata kama yupo mgombea mmoja zitapigwa kura za ndiyo au hapana hivyo ipo haja ya kujipanga kwaajili ya uchaguzi.
"Muwachuje wagombea vizuri ili mnaowapeleka kwa Wananchi wawe ni watu wanaokubalika na kuuzika, tusipeane wakati mgumu katika kutafuta kura kwa wananchi" amesema Prof. Kitila Mkumbo
Pia amesema hata ikitokea chama hakimpendi mtu lakini wananchi wanampenda apelekwe ili wananchi wawe na uhuru wa kuchagua, mambo mengine yatarekebishwa mbele na akitokea mgombea viongozi wa chama wanamtaka lakini wananchi hawamtaki huyo naye aachwe
Amewataka wajumbe wa mashina kuwa huru kumuita muda wowote wanaomuhitaji katika maeneo yao ili aweze kushirikiana na wananchi ili kusikiliza changamoto na maoni yao.
Tuwahoji hivi Katiba ipi wao wanaifuata kwenye hili la kuficha taarifa za kiongozi tena namba 2 sio sawa maana kuna siku Rais atatoweka kwavile ni mazoea yetu kama taifa tusijue alipo taifa hili limeanza kupoteza uhalisia wake sio sawa viongozi wabadilike sio zama za giza tena?
Naogopa sana kuongozwa na serikal za kitapel Kama CCM
โ๐ปKama hata viongozi wakubwa wanafichwa kinachoendelea dhidi Yao tokea Ijumaa ilopita Wengine tushajua Lakin wao wanawaficha wananchi?
โ๐ปHii Inaonesha wapo tayari kuuficha ukweli ili wabaki madarakani
Hello @KassimMajaliwa_ Mbona kila Kauli Tata Inaanzaga Kwako mzee wa busara ?
Mimi nimkumbushe tuu kuwa mtandaoni ndo kuna sumu kali zaidi ya koboko hivyo aombe radhi la sivyo asije sema hakuambiwa mtaani ndo hawa hawa waliopo huku
UFAFANUZI kutoka @AirTanzania
//
Ndugu zangu, wanaopotosha kuhusu matengenezo haya ya kawaida WAACHE. Ni hivi, ukiona shirika la ndege popote Duniani linazingatia matengenezo ya ndege ujue shirika hili lipo makini na linazingatia usalama wa abiria. Bila kufanya matengenezo usalama unakuwa mashaka.
Kudos @AirTanzania kwa umakini na kujali usalama.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Kabla ya uteuzi huo, Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali ambapo nafasi iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadaye.
#MillardAyoUPDATES
Msimchonganishe Rais na wananchi kumbukeni 2025 mtampa wakati mgumu sana kunadi kampeni zake kama hamtaki kuamini pitieni kampeni za Hayati mchaka mchaka alioupata hadi kupigia magoti wananchi sio kazi ndogo..mshaurini ila msimpotoshe