Watu wanaoishi abroad wanaitumia kutuma pesa moja kwa moja kwenda nchi kama za kwetu. Ina maana sasahv wanganda au watu wanaoishi marekani, canada na baadhi ya nchi za ulaya wanaweza kutuma pesa kwenda Uganda. Nala inafanya currency conversion juu kwa juu kwahiyo ukitumiwa ela kuja mpesa inakuwa tayari ipo katika shilingi. Kabla ya kampuni kama @NALAmoney ilikuwa lazima utume pesa kwa bank transfer, western union nk ambazo gharama zake ni kubwa ukilinganisha na nala.
When Ethereum hits $5,000 I will give 1 ETH to ten people who follow me.
The rules are simple:
- like this tweet, follow me and RT
- comment β5k incomingβ
Letβs go! $ETH