Ety unaniambia turudiane saiv tuanze maisha upya tu u karibishe mwaka mpya kwa mapenz mapya ....Amekudanganya nani mwaka mpya unapatanisha watu na mkazidisha upendo...πππππ
Mwaka unaisha kama kuna mtu nilimkela, nimlikosea, samahani sana mimi mwenzenu nikiwaga na njaa uwa na tweet vitu vya ajabu ajabuππππππ
Unaweza ona demu wako amepost picha ya mwana mwingine ukaanza kuwaza inamaana amekuacha bila hata kukuambia π«, kumbe demu amekupiga filters Hadi hujijui π«π«
πππππ
Kila demu ntakae mpata nikilala nae tukianzw kupata tumazoea flani kweny mapenz ananitolea maumivu yake kwamba ety samahan natk nikwambie ukwel ila nilikupenda sana ety ana mimbaππ