@ercurry_ Kuna mmoja alijichanha akapata 1.5M akalipie mahali mwanamke wake. Si akampa baba yake ili wakapeleke mahali, pamoja na nauli kutoka moshi kwenda dar watu watano. Total alimpa 1.9M. Mzee usiku wake kaenda bar akasambaza round๐ kwa pesa ya mahali
@SimbaSCTanzania Mchezaji mzuri akiwa anasajiliwa lazima hadhira ijue, sasa km mnasajiri wachezaji hata timu wanazotoka hawashtuki mjue mnachukua magarasa
@EsirEid Tatizo mnashindwa kutofautisha demu wako na malaya, sasa demu kumuita kwako hadi umtumie nauli, akifika ukimla unampa nyingine na anapokea bila aibu na wewe unasema demu umepata. Huyo kakuuzia hata uwe nae mmoja dunia nzima ila ushauziwa K