@INFLUENCERjr ambacho hamjaelewa ni kwamba hio 35 unakuwa a real man sio tena kijana wa mihemko unakuwa na uzoefu wa maisha na changomoto zake wanasema life expirience unajua nini nikifanya kinaleta nini unakuwa na mipango ya kiume sio kanjanja ni umri ambao haukimbilii kujaribu kila kitu
@Bigsyke20 mpango wa wazungu sie tunaishi nao tu ivo ivo kufunga kwetu sisi ni muendelezo wa tamaduni za mababu wa zamani ambao walifunga walijipaka majivu na kuvaa magunia kuomba toba kwa Mungu. hai itaji akili ya kibinadamu kugundua na biblia unatakiwa uielewe vizuri
@iMajeshi_ surez anasema messi sasa anajua yeye kachoka hana zile mbio tena kwaiyo akipiga pasi basi inatua miguuni atangulizi akimbilie, mbape anasema ukicheza na messi wewe kimbia kwenye nafasi tu mpira atakuleta apo unapotakiwa