Star, DVA ni mpya kushinda ENE, sasa hivi hata wheelcap tu zimekuwa kipengele wanetu. Ikumbukwe Ally's Star hajawahi kupoteza pambano.
Ukitaka kuamini hili pita pale Argentina saa tano asubuhi uone mikwaju iliyopaki pale Ally's Star International Bus Terminal (ASIBT)๐.
๐ณ๏ธ TUSAIDIANE KUPIGIA KURA ALLYโS STAR BUS!
Katika Tuzo za LATRA za mwaka huu,
โ Kampuni ya Allyโs Star Bus
โ Boss wetu Yahaya Ally Amour
โ Na kila kipengele kinachohusu Allyโs Star Bus
๐ Bonyeza hapa kupiga kura:
https://t.co/Hw8J8CiDF6
Dah! Ila hii nchi ina watu KATILI sana. Huyu mzee Kibao walimshusha kwenye bus, wakamtoboa macho na kumwagia tindikali na kumuua. Viongozi wako KIMYA & mpaka leo Jeshi la Polisi halijatoa ripoti ya uhakika na hakuna aliyekamatwa mpaka leo. Aisee hii nchi si salama na huu USHENZI lazima ufike kikomo. #MO29 โ๐พ
Utaratibu ni nini?
Unawezaje kusema nimevuka mpaka bila kufuata utaratibu, ilhali nilifika katika dawati lenu la uhamiaji, nikaomba ruhusa ya kutoka (exit), nanyi mkaniambia nisitoke? Kama siyo ninyi mliozima mlango wa haki, ni nani basi anayevunja utaratibu?
Baada ya tukio la Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche kuzuiwa na Idara ya Uhamiaji kuvuka mpaka wa Sirari ili kwenda Kenya, Idara hiyo imetoa taarifa usiku huu ikieleza yafuatayo.
Taarifa ya Idara hiyo imeeleza kuwa October 18, 2025 katika Kituo cha Uhamiaji cha mpaka wa Sirari Mkoani Mara, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Wegesa Heche ameondoka Nchini kwa kuvuka mpaka na kuingia Nchi jirani bila kufuata taratibu na kanuni za uhamiaji zilizoundwa chini ya sheria ya uhamiaji sura ya 54.
โIdara ya Uhamiaji inatoa wito kwa Raia wa Tanzania na Wageni wote wanaotoka na kuingia Nchini kufuata taratibu na kanuni zinazoongoza uingiaji, ukaazi na utokaji wa Watu nchini ili kuepuka kutenda kosa na kuchukuliwa hatua za kisheriaโ imeeleza taarifa hiyo. #MillardAyoUPDATES
๐จ Nimepita Facebook na Tiktok nimekutana na comments watu wanawalalamikia jamaa baada ya kutaka kila mtu alipie 3,000 kwa mwezi ili kuendelea kucheki hii series ya DUNIA
Hapa unakuja kuona bongo ni namna gani watu ni wabinafsi wanashindwa kuwasapoti jamaa ndio Spotify tutaweza?