@EsirEid SURATUL BAQARAH:120
“Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao.
Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu”
Tuishi hapa ✌️
#TajiriLaKihaya
Hili swala la ndoa nafikiri tulishalijadili tukamaliza ila kama umeamua kulirudisha tena mezani….
Basi hatuna budi kulijadili kwa hoja bila matusi kabisaaaa…
Kwanza naomba Ufaham kwamba WAISLAMU tunaongozwa na QUR’AN (maneno ya mwenyezi Mungu) na Hadithi za mtume Muhammad (SAW).
Na hizo zote zililetwa miaka 1400+ iliyopita na HAIJAWAHI KUBADILISHWA wala Kufanyiwa AMMENDMENT wala kuwa Revised kama wakristo mnavyofanya kwenye biblia zenu!
Miaka hio 1400+ iliyopita wayahudi,wakristo ilikua desturi yao kuoa mwanamke pindi tu anapo baleghe lilikua swala la kawaida kabisaaa- maana hakukua na shule wala nn kama saa hizi hadi mtoto asome hadi chuo nk.
Na hata sisi waislamu kwenye Qur’an hakuna sehem walipo andika tuoe mwanamke akiwa na miaka 9 au 14 au 18 au 20 yaani hakuna specific year ilioandika ila kilichoandikwa MWANAMKE AKISHA BALEGHE anaruhusiwa kuolewa!
Na hata Mtume alivyoMuoa Bi Aisha radhi aallahu ‘anha kinachosemekana alikua ameisha baleghe… ila ni wanazuoni (wasomi wa kiislamu) walivyochambua hadithi wakakadiria ni miaka 9 hadi 11… kufatana na events zilizokuwepo wakati huo ikumbukwe miaka ile hakukua na hii Calender tunayoitumia sasa!
Ni sawa sawa na nyie wakristo kwenye biblia haijaandikwa mwaka kamili ambao Bikra maria alibeba ujauzito wa yesu ila inakadiriwa na Wanazuoni (wasomi wa kikristo) alikua umri wa kubaleghe miaka 11 hadi 13. Na ikumbukwe alivyokuwa mjamzito alikua anazunguka na Joseph kila sehem na wanazuoni wakasema itakua alikua kamuoa maana miaka hio huwezi zunguka na mwanamke kila sehem wakati sio mkeo… so aliolewa na joseph miaka 11-13yrs hapo from wanazuoni- soma dini yako na vitabu utafaham hilo… usidanganywe na zile video za Yesu- zile ni watu wameAct tu, usione ni wakubwa ukadhani ndio walikuwa hivyo😅
Sasa swali linakuja kwa nini MUNGU hakumpa ujauzito kupitia roho mtakatifu binti wa Umri 18 au 20 au 30?
Lakini alimpa BIKRA MARIA anaekadiriwa kuwa na miaka 11 isiozidi 13 tu?? Ambae alikuwa mke wa joseph kwa umri huo?
Hii inakuonesha zamani umri wa kuolewa ilikua ni binti akisha baleghe tu…
Na baleghe uzuri we ni daktari unafahama kwa wanawake inaanza miaka 8.5yrs hadi 14…
Inategemea na mazingiria,urithi,vyakula na nchi uliopo… sehem zenye JOTO wanawake wanawahi kubaleghe mapema kuzidi nchi zenye baridi ndio maana wana science wakasema Countries closer to the Equator line - watu wanakuwa haraka kuzidi nchi zilizopo mbali na mstari wa ikueta.
Sisi waislamu sheria yetu ni KUOA mwanamke alie baleghe… kama walivyokuwa wakifanya zamani… sasa Umri una vary nchi kwa nchi kutokana na mazingira… na sio lazima!
Ni kama uislamu umeruhusu wake wanne ila sio lazima kuoa wake wanne… wapo walio oa mmoja wengine wawili kutegemea na uwezo wako!
Vivyo hivyo sio lazima kuoa binti wa miaka 9… wapo wana oa miaka 11 , 14 kama tanzania, 18 , wengine 21 nk.
Na ikumbukwe Ndoa ya kiislamu mwanaume hauongei na binti hata kama ni mkubwa 18yrs+ waislamu tunaongea na mzazi wa binti! Wazazi wakikuruhusu ndio Unaoa… hatukutani tu mtaani na Kuoana! HADI WAZAZI WARIDHIE…
na ndio maana kama umewahi hudhuria ndoa ya kiislamu huwa Bi Harusi yupo chumbani huko… huwa ni Bwana harusi na Mzazi wa Bi harusi ndio wanakubaliana!
Sasa mzazi akiona binti yake bado hajafika wakuolewa au anataka aendeleee na masomo kwanza atakataa!
So,this is not abig issue kabisaaaa!
@Sativa255 inawezekana ikawa ni mind game wanajifanya wanamsapoti huyu ili mumchague yule kumbe na wao wanataka apite yule so mnaingia kwenye mtego kirahisi kabisa