@George_Ambangil@INFLUENCERjr Vitu kama hivi sio hata vya kujibu as havina hata common sense (Jokes), yani Rash mwenye 7 goals out of 87 G za Barca Laliga, ambapo katika hizo 7 Pedri kamuassist once ndio Bruno anaingiaje kwenye hii Convo.. 😁
@IAmJogoo@anon_codex Yani malipo [matumizi] ya TZS 33,333.3/- per day per muajiriwa ndio yakaribishe inflation..?
Yani 1M itake cover
- Rent
- Diet
- Fare
- Insurance
- Property bills
- Savings & investment
Hujavaa wala hujarefresh.. 😀
@kamutonzi Inawezekana umechelewa kuja Dar or hukuwahi kutumia Morogoro Rd × Mandela Rd. Kama hiyo FS ilisema stand ibaki pale ubungo ungeanza kuwatukana hao waliyoifanya hiyo FS.
@Mashow22@mgmking2@Ridh_One_1@TanzaniaOneJezi Unavyosema masheikh elimu hawana sijui unamaanisha nini ndugu kuhusu elimu..?
Hivi unajua mtu mpaka afike rank ya juu ya elimu ya kuwa sheikh ni at least amesoma 16 - 20yrs. Or elimu kwako ina definition ipi?.