@fbuyobe@bizy94@JamiiForums Nadhani namuunga mkono bwana mbishi. Uki angalia ume anza na afande then uka Fata mambo ya lowasa then uka hama kwenda kwenye oil com. Story ta afande na kuandika barua hujamaliza story ya lowasa na Magu hujamaliza then umetua kwa oil com nayo hujamaliza. It's confusing kwa kweli
@mwanrique The first time naona post yako nili reply kwa kutuma link ya Instagram page ya hiyo sehem ambayo ulirecomend.
Baadae nikafuta maana maana niliona unacho fanya ni service ya consultation. Sasa as days go naona utakuja kua msaada kubwa baadae
@yansemashaka9 @IAMartin_ Ulituliza sana kichwa ulivyo kua unajibu hiii hoja.
Inaitwa shot and clear π
Ingawa alio yasema ndugu masanja Yana mantick kubwa lkn ilikua sio wakati sahihi wakuweka hizo hoja