@Adventure_36 Atachomoa tu sio rahis kupata Abilia 55 kila siku kutoka Iringa tu. ...unless awe anategemea kupakia Dodoma... Ila Sasa kaweka kuanzia Dodoma to Karagwe..
@Adventure_36 Hii ilitokea mwalimu mmoja hakujua kama kuna mtoto wa Rais darasan alikuwa masomon siku anashangaa walinzi nje ya darasa akarudi kutuuliza.. tukamwambia akashangaa sana