Aliyesababisha yote haya ni Vunja Bei. Inasemekana baada ya mzee wa Buga kugundua kuwa begi lake lenye viwalo vya show limesahaulika, Vunja Bei alitafutwa kuleta mzigo mwingine haraka, ila hakuweza kuwasaidia kwa kuwa alikuwa busy na 'byuti byuti' za Simba.
Walioenda kwenye show ya Buga kila wakijaribu kulala usingizi hauji wanaanza kumbuka yale matangazo kwanza halaf pesa zao basi tafrani ππππππ