@Roma_Mkatoliki Siku zote mzazi anatakiwa am protect mtoto wake in the public aafu amkanye na kumuadhibu behind the public ...huyo mzee kazingua kinoma !.
@Roma_Mkatoliki Hapo huna hatia M,
Maana cctv itaonesha mchongo wote mwa ,mwii! Na hivyo utakuwa umetumia haki yako ya msingi ya kujilinda #self-defence na hii kisheria inaruhusiwa Duniani kote.
@Roma_Mkatoliki Kitaa kimepinduliwa !!!?
Basi M, urudi tufanye matanga na kisha tuanze mchakato upya wa kumpata Rais mpya na majambo mengine yasonge kuelekea Ukombozi.
@PMadeleka Kwani hakuna kifungu kinachoturuhusu walipa kodi kumshitaki mtu anayetuongopea hadharani kuhusu pesa zetu na angali analipwa kwa fedha zetu za kodi!?
@JinjaMaloni10@Sativa255 Nini??!
2012 ndio walikaza maticha, wakafelisha madogo kwa mgomo baridi wa kudai maslahi yao chini ya utawala wa waliyemuita "shemeji" mpaka ikapelekea watoto wengi walijinyonga