@Jambotv_ Mbona haina 50 50? Nilidhani mjadala wa Katiba iliyopendekezwa ikasahauliwa ilishaliweka hilo sawa. Miaka 30 ijayo iwe yenye mtizamo na malengo shirikishi kuhusu jinsi na haki( human rights centric approach) Wazingatie Malengo ya SDGs.
@Innocent_mwebaz @BBCAfrica I agree with you.The imperialists think they know what is good for us.Where were they during the Bongos' reign? He is a courageous cousin. Had he failed he would have been executed for treason. Is the national dialogue taking place? That he has to answer.
@nizar1941@IssaShivji Kuna wabafidhina wa dini na kuna wajinga wasiojua historia, hao wataendelea kutetea uovu. Wasichojua ni kwamba kabla ya 1948 Waarabu na Wayahudi waliishi bila ubaguzi. Haki kwa Wapalestina ninlazima.kuhalalisha mauaji kwa kutumia Biblia ni unyama.
@Pontifex Netanyahu is not listening to the plea for peace from Pope Francis, the US is blindly supporting Israel to commit genocide against Palestinians in Gaza and West Bank, and the rest of the world is quiet. Had Nyerere, Tutu and Mandela been alive, they would have spoken for Africa
@ikulumawasliano Hivi Logically, maneno "State", au " National" yakitumika kwenye hizi biashara, kama enzi za NBC, NIC wakati kweli ni za Taifa, na sasa biashara huria, siyo upotoshaji?
@JonLemire Pele, the GOAT. Any other pretender, just managed one World Cup, while he managed 3,including at age 17, and back to back, 1958 and 1962. Rest in Peace, Edson Arantes dos Nascimento.
@JamiiForums Kutawaliwa Kiakili kitu KIBAYA SANA. Mbona. MAXCOM waliendesha Mwendokasi vema tu mpaka mwendazake alipoona wanafaidi akawafuta kazi. Sasa Vikaragosi wameenda UAE, kwa nini? Utadhani hawajui teknolojia tunayo hapo haoo nyumbani. NOT YET UHURU.
I am deeply saddened to learn of the passing of Her Majesty Queen Elizabeth II. On behalf of all Tanzanians, I send my sincere condolences to the Royal Family and the British people. The Queen will be remembered around the world as a pillar of strength, peace, unity and stability
The PAN African Lawyers Union concluding its 2022 Annual Conference in Arusha today, discussed governance issues, human rights, and illicit financial flows and how to stem them, etc.
@kigogo2014 Lete hoja. Matusi hayasaidi kutatua tatizo. Unakimbilia Ubaguzi. Kwa taarifa yako Prof Shivji ni Mtanzania, na pia alikuwa Mwenyekiti Tume iliyoundwa na Rais Mwinyi ambayo mapendekezo yake ndo Msingi wa Sheria za Ardhi za mwaka 1999. Jifunze kujibu hoja kwa hoja.
PAN African Lawyers Union 2022 Annual Conference,taking place in Arusha, 150 lawyers from Africa discussing legal and governance issues, illicit flows of resources from Africa, a whooping Usd 500bn, exiting Africa. Be part of the process to stop this. Reinvest in Africa.
@Getrude_mollel Kajengeni ukuta basi toka Horohoro mpaka Shirati Ziwa Viktoria, muwatenge wadigo na wagiriama, wapare na wataita, warombo na Amboseli, wakurya na wajaluo wa pande mbili hizi, kama Trump alivyofanya. Dhambi ya ubaguzi, ianzeni dhidi ya Wamasai. Itawatafuna. Eti mnamuenzi Nyerere