ALIKUWA KAMA ANAJIUZA.
1. Ina maana waliochunguza hawana uhakika na uchunguzi waliofanya? Walipaswa kusema alibakwa au alikuwa amejuza .
2. Mtu analiyejiuza anahojiwa vp maswali ya kutembea na mme wa mtu? Maana kwenye ile video wale wakubwa walikuwa wanamnanga kabisa yule dada,