@eastafricatv Ukiagiza kitu cha kuuzwa elfu 10 utauziwa elfu 18 na bado atakaye nunua wa duka dogo nae atakuuzie kwa 25 kila apate hela ya kuendesha tu biashara ila wengine kodi ni kidogo watu wafanye biashara kwa amani
@eastafricatv Uganda wao mzigo ukipita mpakani wanalipa kodi tu utasikia wanakufata kukudai kodi tena zaidi ya wew unakuwa free na biashara yako ila uku sasa anayefata mzigo analipa bandari, akiuuza lisiti anayekuja kununua tena kodi na mwisho wa siku bado kodi ya pango na vingine
@TBoundBuses Kwaio alikuwa amekuja kutest mitambo kama gari zitaweza kuziba nafasi ya #mallessa na #geitaexpress alafu ndani ya muda mfupi zaidi ya bus 4 zimepata ajari shabiby
@HabariTech@TOTTechs Kwa hali hii tuliopo tu watu wanajua kufanya vitu ila sasa mpka ujulikane na utoe jambo kwa viongozi ndio utoboe sio miaka 10 tu mpka 2050 itakuwa bado ni ndoto kwetu. Ila ukwel ni kwamba bongo atupendi maendeleo kama jirani zetu