@JonMrema Mwenyekiti unayemtuhumu kuwa anataka kukuvua uanachama amekanusha tayari, kingine fahamu huku ni mtandao wa kijamii X na si ofisi za chadema na utaratibu unaujua vizuri namna ya kuwasilisha malalamiko yako kwa viongozi wako. Au unawaogopa viongozi una hofu gani?
@LembrusMchome@godbless_lema@freemanmbowetz@ChademaTz@JonMrema Mbona mwenyekiti wenu aliyeshindwa kwenye uchaguzi alipanga kumshulikia lisu baada ya uchaguzi, matarajio yenu yameenda ndivyo sivyo mnakuja huku kutoa milio. Huku X siyo ofisi za chadema nendeni ofisini viongozi wapo mtoe malalamiko yenu acheni ushamba
@julius16060 Irenegira ndo mwanake mpambanaji haswa, yule mwingine anajisifia utafutaji wake wa kitandani kama alikuwa hajui tunakoelekea ARV kidonge kimoja kitauzwa 400k
@Ireneigora Hongera sana mpambanji mwenzetu Upo 114? dereva wa fuso katika ubora wako, waachie wanaopambania kitandani mechi zao tunqkoelekea ni kubaya ARV watanunua kidonge 1 400k
@YerickoNyerereT@BobWangwe kauliza hivi https://t.co/2ftVHTPS4b, M/kiti ikitokea ametetea kiti chake tutaendelea kuwalaumu CCM kukimbia midahalo? Nafahamu tutaendelea kuwa na uhalali huo pale Wakili Lissu atakaposhinda.
@Dr_DGwajima @KANJlBAI Mheshimiwa hapo tu kwenye misuli mbona tayari umeshadhihirisha kuwa huwezi kulinganisha mwanaume na mwanamke?
Uhalisia ni kwamba kuna shughuli zenye kuhitaji misuli bado tu zitahitaji wanaume kama ambavyo mwanaume naye hawezi kubeba mimba na kuzaa mtoto.