@TitoMagoti Alipaswa kueleza Vigezo alivyotumia kuwapata na kuanza kuwatumia hao wasanii kabla hajaanza kurusha lawama kwa wabongo.
Note:Kama anatumia fedha yake ya mfukoni hastahili kupata lawama za wabongo
#JeWanakubalika#JeWanauzika#NiBRAND au #kujuanatu?
@darmpya_@ProsperMasau Jambo la MSINGI ni kutoa ELIMU kwanza kwa wamiliki wa vibanda vya sinema kuhusu madhara ya watoto kuwa katika vibanda vyao nyakati za usiku na wakati wa masomo
We have been reliably informed that a meeting led by CCM Secretary General that took place last Saturday night at Kisiwandui Zanzibar DIRECTED Zanzibar Government to amend election law to bar @ACTwazalendo members to contest 2020 elections on the basis of duration of membership
Hii ni Heshima-JIWE LA MSINGI - Chuo cha Ardhi(Hakuna Msanii yoyote Nchini aliyepewa Heshima hii) Ukijanishaji Tabora, Kutoa Madawa for Non Communicable diseases, Kupokelewa kwa heshima yote hii, Yote haya Sio kwa Nguvu zetu bali ni Kibali toka kwa Mungu na Mapenzi ya Wana TABORA