Tundu is in a league of his own. This man is a genius. 2023 interview forecasting the 2025 elections would not happen. Spot on. We all know there was no election in 2025. Just a coronation, a massacre, and the guy who warned everyone rotting in prison.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Sisi tumesema tunataka serikali ya mpito
Hii serikali haramu haiwezi kututawala au kuanzisha mchakato wowote wa uwajibikaji au maridhiano ya kweli
Serikali ya mpito si serikali ya mseto
Hatutakubali wauaji ktk serikali ya mseto bora hata mtuletee mtu wa nje kwa muda!
Hii wakisikia CCM wako tayari kutuua! Ila ndo kinaenda kutokea wapende wasipende! If not now later!
Mark this post! ๐
Msikilizeni Tundu Lissu kwa umakini mkubwa!
Wenye nchi ni wananchi!
Narudia hata CCM na vyombo vya ulinzi na usalama - bora Tundu Lissu muachieni tufanye uchaguzi aingie madarakani kwa haki - ye atatenda haki!
Haya majizi na majambazi ya CCM watateketeza nchi
#FreeTunduLissu
@EduTalkTz Huyu dada amesema kweli โ๏ธ๐ง huo ndo muundo system was familia
Unabisha nin kuwa wa kike
Ukwel ni kwamba your the first leader na maamuz ya wanaume ndo yanayo tucost unatia huruma kwenye sehem muhimu , #changes
Asha rose Mligilo (Katibu wa CCM) alisema "Polisi walifanya kazi nzuri sana MO29.
Juzi Chacha amesema "vyombo vyote vya usalama nchini ni mali ya CCM".
Kauli zote hizi zinakuambia nani anaeuwa na KUTEKA watanzania kila siku.
Leo MAFWELE jitu ambalo limekuwa siraha ya SIRI ya wakoloni weusi KUTEKA NA KUPOTEZA watu, baada ya mimi kulitaja hadharani limeanza kujitokeza na kuleta misemo ya kipumbavu.
Sasa wewe jifanye husomi majila kaongee na KAMANDA utafurahi. Hawa sio WATU. Hawa wanauwa watanzania kila siku.
Ndiomaana jitu kama MAFWELE licha ya kulitaja kutaka kuniuwa limepandishwa VYEO sasa linakaimu nafasi ya MURILO.
Za kuambiwa CHANGANYA NA ZAKO.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
VIDEO:
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema suala la kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, mwaka 2017 lilipaswa kuwa miongoni mwa ajenda muhimu zinazofuatiliwa na kujadiliwa na Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Mnyika amesema hayo leo Oktoba 6, 2026 akisema viongozi wa IPU walipomtembelea Lissu, Gerezani walipata fursa ya kuuliza kuhusu tukio hilo na hatua zilizochukuliwa katika uchunguzi, akidai kuwa uchunguzi huo haujatoa majibu ya kuridhisha hadi sasa.
Amesema pamoja na tukio la kupigwa risasi, Lissu aliieleza IPU kuhusu haki zake kama mbunge ambazo Mnyika anadai ziliondolewa wakati huo, akisisitiza kuwa suala hilo pamoja na uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi linapaswa kupewa uzito ili kulinda haki na usalama wa wabunge.
@Kipanga1986 Hao ni majambazi hakuna mlinz hapo, ni Magaidi
1. sababu walioapishwa kuilinda aman ya nchi ni askari wenye sare mbona hawa hawana sare..?
Hakuna harakati kwenye mauaji na maisha ya watu harakati zote ni kuhakikisha maisha yanakua mazur zaid ya jana, muache usenge, uwajibikaji
@MtataProMax Sasa kama ni hivo hata big yule alijiteka, Pole pole kajiteka, nchimbi kajiteka, soka kajiteka, na wengine weng
Tuseme Alikibao alijiua, tuseme temba alijichinja ๐๐, hatuwez kuendelea iwapo kuna chembe chembe za kukosa ubinadam
Ni kwel upo safe lkn kila mtu yupo hatarini โ ๏ธ