DAR: Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema hayo katika mahojiano maalum na Jenerali Ulimwengu yaliyorushwa Agosti 14, 2026.
Mdau, una maoni gani?
Video: The Jenerali Ulimwengu Post
Shiriki https://t.co/FT0Bdfj0RG
#JamiiForums#Demokrasia
@JamiiForums Kwann mtu akiwa NSSF akipata kaz serikalin akahamia pssf hapewi ela zake wala haziamishiwi mfuko mwngine wanabaki nazo Nssf mpaka uyu mtu atakapo stafu
@mwigulunchemba1 tusaidie hili mkuu
@swahilitimes Mnapokua na mashindano haya, kila mtu mahali alipo apewe nafasi ya kufanya presentation ya mawazo yake na zilishwe hewani na wapigiwe kura za Hadharani.
@jnanauka Kama kweli mnataka kuona mchango wa Vijana kwa Taifa lao.
@taifa_mbunge Katiba mbovu imepelekea kuwa na haya tuliyonayo leo.
Tulipaswa kua na Rais wa Mpito baada ya Kifo cha Rais, na ingekua wazi tu, Kwamba Tanganyika inastahili kutoa Rais kwasababu tunachukua zaid ya 3/4 kwenye Muungano huu na si Mzenji kuwa Rais in any how
Period π«‘π«‘π«‘ @nchimbie
@swahilitimes@jnanauka Ikikupendeza Kama ilivyokua na YouTube channels zingine, bas na Wizara yako itengeneze platforms zitakazoweka kuwafikia Vijana popote walipo ili baada ya mawazo Yao kutolewa tuone Serikali ikiyajibu kwakuyafanyia kazi na aliyeyaleta anakua directly involved kwenye utekelezaji.
@swahilitimes Mnapokua na mashindano haya, kila mtu mahali alipo apewe nafasi ya kufanya presentation ya mawazo yake na zilishwe hewani na wapigiwe kura za Hadharani.
@jnanauka Kama kweli mnataka kuona mchango wa Vijana kwa Taifa lao.
@Twaha_Mwaipaya Dunia ya leo Nani akubebe hivo Bure mkuu ?
Hapo nishapita sana, jamaa ni ajira Yao iyo.
Ila kwa ukatili mwingine ndo sijui kuhusu uyo jamaa
@mwigulunchemba1@mwigulunchemba1 tunaomba Mh. Waziri utuone pia wananchi wa Ndachi uku Kata ya Mnadani wilaya ya Dodoma mjini.
Tumekua na changamoto ya kulasimishiwa Ardhi toka mwaka 2018 had leo magazine wote wa Ardhi wanapiga bla bla.
Jiji hapo Dodoma wanamipango mingi isiyo na mwisho
@godbless_lema Serikali ipunguze mizigo kwa njia ya Cost sharing, miradi Ming ya maji inekufa kwasabab ya kukosa funds za usimamiz.
Watu wachangie Maji Kama wanavochangia Umeme, Mafuta etc.
Hata ghalama za kuvuta maji miton/Ziwani zinakua kubwa kwasabab wamejitwisha mizigo Ming serikal