@IAMartin_ Aisee hili likitu tumepigwa vibaya sana haliwezi kuwa kweli eti linauzwa milioni Elfu mbili mia mbili 2,200,000,000/=• Tumuombe Mungu ashughulike nao hao wahuni tu asee..
Watanzania muamke mnavyoibiwa sasa, hao watu hawafai kutuongoza kabisa..
Walid Regragui ndiye kocha wa Morocco. Mzaliwa wa France raia wa Morocco
Amefundisha Wydad Athletic Club michezo 48, amedumu siku 353
Alipoondoka Wydad Athletic Club akateuliwa kuwa Mwalimu timu ya taifa ya Morocco.
Amewafikisha nusu fainali WEDIKAPU
CCM mtu wa aina hii yupo?
Morocco, mwaka 2007/09, walitumia Sh34.3bn kutengeneza Mohammed VI Football Academy
Kuna fields 8 za hadhi ya FIFA, indoor pitch, 5 five star hotels, hospital.
En-Nesryi (Sevilla), Ounahi (Angers), Nayef Aguerd (Westham) wametoka hapo.
MaCCM hizi Sh34.3bn mnaingiza tumboni tu!
Wydad Athletic Club Casablanca ni mabingwa wa klabu bingwa Afrika.
Renaissance Sportive de Berkane ni mabingwa shirikisho Afrika
Association sportive des Forces armées royales (ASFAR) ni mabingwa wa klabu bingwa Afrika - wanawake
Timu zote za Morocco.
WAZIRI unawaza WEDIKAPU?
William Ngeleja akiwa waziri wa Nishati na Madini
January Makamba alikuwa mwenyekiti Kamati ya Kudumu Bunge Nishati na Madini
Nchi ipo gizani akasema Tanzania haipaswi kuwa na mgao wa umeme
Leo January ndiye waziri wa Nishati, nchi ipo gizani, baba yake anasema hatuna shukrani
Suala la umeme kukatika limekuwa tatizo na Rais yupo kimya kama hakijatokea kitu. Hili la umeme kwa nchi timamu, lilitosha kuiwajibisha serikali. Saa 24 za siku unapata umeme kwa saa 6 tena usiku na bado watawala wanajichekesha? Lakini, tunaishi Tanzania na sisi ndiyo watanzania.
@Matallahkhamis @ZamaMpya_ @HecheJohn Unajua maana ya hoja?
Unajua maana ya ku stick?
Unajua maana ya ajenda?
Upepo ni nini?
Nini Maana Ya Siasa Wewee??!!
@halimamdee@AKolahili Morocco haijifunzi uhuni, Morocco sio snitch! Morocco ni nchi yao kama chama pia! Ila baadhi yao kwa mchezaji mpuuzi mmoja akili fyatu hakujua maana ya ‘UMOJA WA ULIOAPIA’
Washukuru Mungu waliomba msamaha..
Je ninyi ambao hamjaomba msamaha na bado mnajikomalia huko itakuaje??!!