Doreen Don
|Assistant to the leader of Opposition in the Parliament of Tanzania 2015-2020๐น๐ฟ |
| Policy analyst
| Politician |
|Business Woman |
|Mother |
@gcom_Material @TweveDevota Maana yake unasema wanawake wajipigie wenyewe na wanaume wenyewe. Mร ana hauwezi kumbagua mwanamke katika nafasi za kiuongozi halafu utegemee yeye akupigie kura wewe. Lets think big .
@gcom_Material @TweveDevota Natamani ungefikiri zaidi kabla ya kuandika . Wamekuwepo Marais wanaume waliotufikisha tulipo. Wametunyika Katiba Mpya, waliteka na kuua, umaskinin.k na maisha tunayoyaishi Watanzania leo wao ndio waliotengeneza huu msingi mbovu. Tukianza kutazama uongozi kwa jinsia tutapotea
@MariaSTsehai@masoudkipanya Kwa katuni kama hii inaonyesha gender stereotype. Pamoja na kuvaa hills bado angewe za kuingia mzigoni. Tunahitaji viongozi wenye akili sio wenye nguvu za mwili. Tunahitaji akili zao ziingie mzigoni na sio jinsia zao.
@Mrisho_K@godbless_lema Mungu usitupe akili ya kukariri dini bali tupe akili na maarifa ya kutafakari, kuchambua na kufanya maamuzi sahihi tukiacha ubinafsi, chuki na ukatili miongoni mwetu wanadamu ili duni ziwe sehemu ya kuleta amani na sio migogoro na chokochoko.
@frediejustine@IAMartin_ I'l stand firm kukutetea, uko sahihi. Kamwe hatuwezi kumuunga mkono mtu anayetetea interest zake mwenyewe na sio wananchi. Chadema hatujawahi kudeal na personality za watu bali ni issues, this is what makes us different. We can't be stupid to fall for everything.