@BillyTronix1 Yes, na kama China ๐จ๐ณ na Urusi wana akili wapeleke siraha za kutosha ili US awe kwenye vita vya mda mrefu kama walivyofanya kwa Urusi.
Hapa US atapata somo na kujua thamani ya amani.
@EsirEid Hapa hamna udini.
Kitu anafanya US na Israel hakifai kwa taifa lolote lile.
Tunajua wapo kwenye decline, sasa wanatapatapa. Kama wako fit waingie ground na ๐ฎ๐ท.
Hamas iliwashinda wataweza ๐ฎ๐ท?
@Thommunkondya Uzuri ni kuwa panapoa, ila wajukuu zetu watasoma kwenye vitabu kuwa kuna raisi aliua watu wake ili abaki ikulu. Na utafika mda hata kizazi chake kitaona haya kujitambulisha kwa majina yake. Subiri atoke ikulu.