@phano09@raiyajenerali@mtumba Pole sana STEPHANO unakataa UKWELI wa asili ya Jina MTUMBA?
Nikupe dondoo tuu, eneo lote la mjinwa Serikali ni eneo la Mashamba ya wanakijiji wa Mtumba, kama umefika pale Mji palipo na tank la maji kilimani kiasili panaitwa NZENJENZWA unajua maana yake? Elewa kibantu ni mtambuka
@raiyajenerali@mtumba Mitumba = Msasa / Miombo (Brachystegia)
Ndiyo miti hiyo ya pori yenye majani mapana, ukiukata unatoa utomvu, na inazaa matunda pori ambayo huliwa matamu
Sasa hivi Msitu ule mwingi umekatwa ndio maana unasikia Mtumba imebaki jina tu, miti yenyeww imekatwa na kubaki mmojamoja tu
@raiyajenerali@mtumba Neno MTUMBA ulipo Mjinws Serikali ni Jina la Kijiji Cha Mtumba Cha asili ya WAGOGO, na Kijiji kiliitwa hivyo kutokana na Miti iliyokuwepo hapo ya asili inaitwa "MITUMBA" So wakati wa uanzishaji vijiji miti hiyo ilifyekwa na kuanziaha Kijiji, So Mji umemeba jina la ASILI LA KIJIJI
@Sisimizi3 Hahaaa ndugu @Sisimizi3
Hongera kwa kusema hili, huenda ni Ukweli Mchungu tusioujua jamii kubwa.
Kwasababu umekuwa Mkweli kwa hili nimuulize kwa ukweli huo,
Kwenye CHAMA CHENU (Maana huwa tunaambiwa Chama kina Wenyewe), swala la RUSHWA na KUHONGANA ni jambo GENI?
NDIYO AU NO?
@wakusteimoney@HecheJohn Sorry
Ufahamu wako upo sahihi?
Unaweza coordinate alichosema Adv. Mwabukusi na Mh. Heche na ukaelewa sawasawa? Na hii argument Yako uliyoleta inaingilia wapi?
Aise aibu ndogondogo hufichwa na vinywa vilivyo Kaa kimya, lakini vikifunuliwa ndo haya mazongi potofu
@ChugiSuleiman@Mndewa11@fbuyobe Mmmh, sijui Unaelewa ulichosema?
Taarifa kaitolea wapi? Si wakati session imeshaanza na Majaji Wote wapo kwenye Vito vyao na pande zote zimetambulishwa, ambapo Mh. LISU alitakiwa aanze kumuongoza Shahidi wake, ndipo akaeleza Status ya mashahidi wake, na akaomba kufunga UTETEZI.
@Mndewa11@fbuyobe Nadhani kisheria kwasababu wale ni Mashahidi wa Mh. Lissu na yeye ndiye kawaita, hivyo atakachosema kinakuwa recorded, kwanza kusema katii Wito na kafika hivyo yote atakayosema mbele ya Mahakama yatakuwa sahihi, ndo maana akasema anafunga kwa taarifa zao alizowatolea
@msudan2_papaa@IAMartin_@TunduALissu Yeye Mh. Tundu Lissu alikuwa shahidi wa Kwanza na ikawa kwenye rejoinder atafanyaje? Napo SoMo likatolewa alijiuliza maswali aliyoandika na kutolewa ufafanuzi. Kiukweli ndugu anatoa darasa ambalo sisi layman wa Sheria tunajifunza
Mungu ambariki na kusudi la kuumbwa kwake litimie
@MariaSTsehai@wisekija Aunt Maria umekuwa IMARA SANA kutetea HAKI kwa BINADAMU na hii ndo dhana halisi ya MWANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU.
Hawajui wanayoyaamua kwa Upendeleo kwao, yanakuja Wagharimu Pia, KARMA IS A BITCH๐
Waangalia mfano wa hii Picha inafundisho kubwa sana
@fbuyobe A nice and comprehensive summary feedback of Tundu Lissu saga, everything is open in front of CIVILIZED AND HUMANITY PEOPLE'S EYES
Jeremiah
1:5 Before I formed you in the womb I knew you, before you were born I set you apart; I appointed you as a prophet to the nations.'
@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia Hongera sana Prof @AnnaTibaijuka kwa Ushauri mzuri kwa mustajabali wa Nchi yetu.
Itakayo shinda hapo ni TANZANIA na si proud ya mtu mmoja.
Mungu awaongoze watawala wetu wakaliona hili kwa jicho la kiupendo na kudhaminiana.
@kwamekivaisi@AnnaTibaijuka@SuluhuSamia Mmmh
Yawezekana hayo unayosema yakawa kweli, Je, huyo mtu kama kayatubu hayo kwa Mungu wake, na kajirudi kushauri jambo Jema ni m-baya?
Kwenye Biblia tunasoma Matendo 9:1-19, Aliitwa Sauli, aliwaua wafuasi wa Yesu, akababadirika na Kuwa Mtumie Paulo na kutetea WAKRISTO
JIFUNZE
@royalmediatz Duu, aise MBONA WATU HAWANA AIBU? Walaaniwe wale wamtegemeao mwandamu, Maana huyo ndo walimtegemea na Imani ikawa kwake, so yote yaliyofanyika walikubaliana na Kuona sawa, hata kusikitika, eti wakakaa kimya.
AIBU YAO, HAWAFAI KUSIKILIZWA KABISA
@Aylan14233071@joeselasini Mmmh nisaidiwe kujua, kosa lake Nini? Katukana mtu au Kutweza mtu? Umemuelewaje?
Naamini ukimjibu mtu kistaarabu utakuwa muingwana not otherwise
Mkosoe kwa hoja zake
@rugemeleza@MariaSTsehai HAKI HUWA HAINA MBADALA, HATA KAMA ITACHELEWESHWA, ILA UTAJIDHIHIRI KWA WAKATI HUSIKA, NA WOTE WALIOPINDISHA LAANA HUWAFUATA:
Proverbs | Mithali
29:2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
@joharimshana Kwa ufupi: Tanzania tuna Sera nzuri sana, lakini implementation (utekelezaji) ndio changamoto kubwa, ikifuatiwa na uhalisia wa uchumi wa kilimo kutokuwa na tija.
Nia ya dhati (Political will) ikifanyika, watu wataneemeka na kuongeza tija