BEIA YA MAFUTA IMESHUKA katika soko la Dunia sasa wakati wa Kupanda inapanda ghaflayaani ikipanda asubuhi mchana lazima huku tupewe kipenyo lakini cha ajabu sasa Imeshuka wameanza longo longo eti wanaangalizia kushuka zaidi yaani imeshuka kwa Asilimia 20?! halafu bei zisibadilike? Hii ni maajabu
Ni kweli wengine hatukusoma hesabu na ukokotoaji wa hesabu nisuala la kitaaluma tulikimbilia somo la Siasa but the number is not adding hapa tunapigwa.
Hivi hata hili Wabunge pale Dodoma nalo mnashindwa kuwalinda wananchi?
BAK MWABUKUSI.
Serengeti Boys wanatakiwa wapewe hamasa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kina Mrisho Ngassa, Erasto Nyoni nk
Hao Wabunge wanaenda kutoa Hamasa gani zaidi ya kwenda Vacations tu. Kodi inachezewa sana
Mchina analeta Pikipiki na Mabati kutoka China anayeweka kwenye magodown makubwa alafu anajiita mwekezaji na anapewa Tax exemption. Unajiuliza kazi zote za Ajira zinafanywa kwao na akija hapa anatengeneza mtandao unachukua Ajira zote za ufundi,Vipuli etc
Mwekezaji ni nani?
Kwa wale walalamikaji ukitumia English, unajua ninapoishi tunatumia kiingereza? Post zangu zinasomwa na senate offices🇺🇸na wengineo kuelekea kukomboa Tanganyika. Pale post inapokuwa siyo ndefu na najua itamsaidia mtanzania, najitahidi kuweka kiingereza na kiswahili ila kama unaona post ni ya kiingereza tu, simple siku hizi unacopy na kumuomba ChatGPT au Google Translate wanakupa kiswahili bure. Mjifunze kujiongeza lugha pia….mimi nne naongea, wewe unataka kubaki na kiswahili tu-jielimishe- if you want to go places, inabidi ujiongeze kifikra, matendo, lugha, elimu etc…let’s be better, let’s grow⬆️