@mafolebaraka Kama imetokea mara ya kwanza restart waweza kuta updates au shida zngne ambazo after restarting windows itakuwa imesolve....kama inagomea hapo kila ukijaribu....solution ya rahisi ni kure-place hyo storage device yako... #etstech
Mandela Alivyoinyamazisha Marekani.
Enzi za uhai wake, Baba wa Taifa la Afrika Kusini Nelson Mandela “Mzee Madiba” alipata mwaliko wa kushiriki mdahalo maalumu nchini Marekani.
Endelea 👇
#SiasaMakiniUPDATES