@Robertmagobe@MarekaMalili Kuwa kijana ama kuwa na muda mwingi hakukuhakikishia kuwa na mtaji, hivyo ukipoteza mtaji, uwezekano wa kupata mwingine bado ni mtihani.
@Octavianlasway Hivi ndio vitu tulipaswa kuvipa uzito. Viwanda kama hivi husaidia kukuza uchumi wa mtu mmojammoja, familia na jamii kwa ujumla. Vyuo vya ufundi na mifumo ya vibali na kodi vikikaa vizuri, tunapiga hatua kwenye hili na kusaidia kupunguza tatiza la ukosefu wa ajira.
@PASB96@Dr_DGwajima Huyu Kiongozi ni kweli hana makuu na hata kwenye maisha halisi pia yuko hivyo. Nilibahatika kukutana naye shoppers Dodoma, nikamsalimia naye aliitikia kwa uzuri kabisa. Tunamuombea neema hiyo Mungu aendelee kuibakisha kwake na ikawe sababu ya kheri nyingi zaidi.
@TMnyama4_ Kwa umri huo alipaswa ajue taratibu za kurasimisha uchumba na hatimaye ndoa. Kwanza huyo binti kampa heshima kubwa mno na kawakosea sana wazazi wake kwa ajili yake halafu analalamika vitu havina kichwa wala miguu. Akue kwanza kifikra ndio arudi kwa binti,la sivyo atamsumbua binti
@kumbalwinze@officialshakuu Watu wakitaka kukutega hata sebleni watakusingizia maana wewe unakuwa huna wazo baya unaloliwaza. Dunia imejaa wauwaji wa namna nyingi, ni kwa neeama tu za Muumba wetu.